Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona leo Kagere...ameua huu Uzi rasmi.Anyway tunashukuru kwa ushauri mtoa mada.This Is Simba
 
Ushakua mshika tunguli haya simba kaongeza point 3 zingne ongea lingne na jmos unaolewa
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20190213-071155.png
 
Al ahly 7
Simba 6
Soura 5
Vital 4
Bado game 2 kwa kila timu .home and away... Simba tunaenda kwa Js Soura then tunamaliza na Vital club kwa mchina.
Al ahly anaenda congo kwa Vital then anarudi home kumaliza na Soura.
Yes we can
 
Back
Top Bottom