Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

astrologist

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
221
268
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya mwisho Yanga kufika group stage ilimaliza na points ngapi? Nijibu tuendelee

Back
Top Bottom