mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,173
- 2,873
Ulikwepo hiyo miaka? Sawa mlikuwa Bora miaka hiyo Sasa kwann hutak kukubali kuwa Simba ni Bora kwa wakati huu?Ayo Mambo ya kucheza robo fainali Mara mbili mfululizo Yanga ilisha fanya enzi hizo misimu ya 1969 na 1970 mnacho fanya Simba ni marudio izo zaligi ya ndani Yanga Alisha beba miaka mitano mfululizo kutoka 1968- 1972 Simba katika soka la nchi hii Hana maajabu dhidi ya Yanga.
Basi tufanye yanga ni Bora zaidi ya Simba ,vipi umeridhika hapo