Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,975
- 63,988
Basi taratibu za hapa ni ngumuExactly!
Basi taratibu za hapa ni ngumuExactly!
Hiyo sentesi ya mwisho una authority?Kwanza kabisa kanuni inasema muda wa kubadilisha muda wa kuanza.mchezo atleast ile masaa 24, na body ya ligi ilibadilisha muda kutoka saa 11 jioni mpaka saa moja nje ya wakati yaani saa nane mchana ndiyo wakabadilisha mechi, inamaana masaa 3 tu na kanuni inasema...
Sasa mbona Yanga hawajaadhibiwa kupitia kifungu hicho cha emergency? Tatizo nini?Hiyo sentesi ya mwisho una authority?
Kuhusu kanuni ya kubadilisha muda wa mchezo, kanuni ina exception ya emergence,(nenda kaisome yote, usiishie njiani) ambapo kukiwa na emergency hata kama imebaki dk moja mchezo unaweza sogezwa mbele au ratiba kubadilishwa. Una uhakika asilimia ngapi serikali itashindwa kudhibitisha kua kulikua na emergency...
Kwanza kabisa kanuni inasema muda wa kubadilisha muda wa kuanza.mchezo atleast ile masaa 24, na body ya ligi ilibadilisha muda kutoka saa 11 jioni mpaka saa moja nje ya wakati yaani saa nane mchana ndiyo wakabadilisha mechi, inamaana masaa 3 tu na kanuni inasema.kiwangu kifupi ni masaa 24...Sawa!.
Hapana endapo mpinzani mmoja hatotokea uwanja ni kinyume na taratibu basi huyo mwenye pointi nyingi kuliko timu zote atapewa ubingwa wake. Kasheshe inakuja ktk mazingira kama hayo ya Yanga. Hapo labda tff wapige manyanga yao kuonyesha yanga hawajaleta timu uwanjani kinyume na kanuni, na hayo manyanga washinde lasivyo yanawageukia!Ndio maana yake mkuu. Ili ushindi uwe VALID lazima mshindi acheze mechi zote; vinginevyo huo ushindi utakuwa BATILI. Kama TFF watarogwa wakatoa kombe kwa Simba (hata kama watakuwa na pointi nyingi), Yanga watawashikisha adabu ambayo hawatakuja kuisahau hapa duniani.
Haiko hivyo mkuu, ingekua hivyo timu zingekua zinakosesha ubingwa timu nyingine kwa makusudi.Ndio maana yake mkuu. Ili ushindi uwe VALID lazima mshindi acheze mechi zote; vinginevyo huo ushindi utakuwa BATILI. Kama TFF watarogwa wakatoa kombe kwa Simba (hata kama watakuwa na pointi nyingi), Yanga watawashikisha adabu ambayo hawatakuja kuisahau hapa duniani.
Hapa ndipo Yanga watakapowashikia TFF pu.mbu. Ikiwa mechi iliyopita Yanga alikuwa na makosa ya kutopeleka timu mbona hakuadhibiwa? Hapa TFF tayari wameishajichanganya. Yanga wakiwakazia, hawana pa kuchomokea mkuu.Haiko hivyo mkuu, ingekua hivyo timu zingekua zinakosesha ubingwa timu nyingine kwa makusudi.
Timu ukishindwa kutokea uwanjani ile game itachukuliwa kama imechezwa na timu iliyotokea uwanjani itapewa points tatu na magoli kadhaa kama kanuni inavyosema.
Kwa Mfano yanga asipotekea uwanjani tarehe 3/7 simba atapewa points tatu na magoli na hiyo game itahesabika imechezwa na kwenye msimamo itaoneshwa game imechezwa.
Na kama yanga hawataridhishwa na maamuzi hayo wanaweza kwenda FIFA kudai points tatu za mchezo wa tarehe nane.
Sioni kama kutakua na kupinga ubingwa wa simba kwa sababu hiyo usemayo ya kucheza mechi 37.
Mkuu hebu saoma maoni niliyomjibu Kapyangi hapo juu☝️. Yanafanana na hii hoja yakoHapana endapo mpinzani mmoja hatotokea uwanja ni kinyume na taratibu basi huyo mwenye pointi nyingi kuliko timu zote atapewa ubingwa wake. Kasheshe inakuja ktk mazingira kama hayo ya Yanga. Hapo labda tff wapige manyanga yao kuonyesha yanga hawajaleta timu uwanjani kinyume na kanuni, na hayo manyanga washinde lasivyo yanawageukia!
Sawa mkuu lakini naona Yanga wameamua kuharibu sherehe mapema sana wakisaidiana na TFF.
Tusubiri tuone kama watapeleka timu hiyo tarehe 3/7 mkuu; najua Yanga wanatumia vizuri umbumbumbu wa TFF kufanya sarakasi hizi. Ndio maana hadi leo hawajaadhibiwa kwa kutopeleka timu kiwanjani.Nimeishia kusoma uliposema uongozi wa Yanga umekataa katakata kupeleka timu uwanjani. Wewe umekurupuka
Achana na stori za vijiweni. Yanga umefafanua zaidi ya mara 2 utapeleka timu uwanjani. Mwanzo alipotoa tamko Bumbuli kesho yako Yanga wakamkana,juzi pia Yanga waliwakana wazee waliosema hawaendi uwanjani. Sasa hizo stori za Yanga kutopeleka timu unazitoa wapi?Tusubiri tuone kama watapeleka timu hiyo tarehe 3/7 mkuu; najua Yanga wanatumia vizuri umbumbumbu wa TFF kufanya sarakasi hizi. Ndio maana hadi leo hawajaadhibiwa kwa kutopeleka timu kiwanjani.