Simba hatangazi Ubingwa leo babaake... Bado sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
Yanga tunaendelea kupambana kuja chukua Ubingwa wa Ligi Kuu. Simba leo inapoteza na mechi zijazo itapoteza mpaka mwisho.

Yanga tunapindua Meza.. tumekuja kuwaonesha maajabu. Simba hachukui Ubingwa.

Tanzania Prisons. Waweke ndani hao jamaa hapo uwanjani. Na wasitoke hata kwa dhamana. Sisi tupo pamoja nanyi bega kwa bega.

Yanga sasa ndo tumewasha moto.nadhani mshaona matokeo ya jana. Tutaendelea kuwachabanga wote watakaojaribu kusimama mbele yetu.
 
Ndoto za namna hii huwa wanaota watu waliovuta bangi.
 
Simba Jeuri yao ni kutoa rushwa tuu, bila rushwa wanaweza shuka daraja
 
Yanga tunaendelea kupambana kuja chukua Ubingwa wa Ligi Kuu. Simba leo inapoteza na mechi zijazo itapoteza mpaka mwisho.

Yanga tunapindua Meza.. tumekuja kuwaonesha maajabu. Simba hachukui Ubingwa.

Tanzania Prisons. Waweke ndani hao jamaa hapo uwanjani. Na wasitoke hata kwa dhamana. Sisi tupo pamoja nanyi bega kwa bega.

Yanga sasa ndo tumewasha moto.nadhani mshaona matokeo ya jana. Tutaendelea kuwachabanga wote watakaojaribu kusimama mbele yetu.
Simbaaaaaaaaaaaaaaa Bingwaaaaa

Utopolo bhana, kwa hiyo kwa hayo matokeo mliyoyapata sijui jana mlidhani kabisa nyie ndio mtakuwa mabingwa?
Vyura mbona mnakuwa na mawazo ya ajabu hivyo..? Ndio maana litimu lenu linaongozwa hovyo hovyo tu...
 
Ha ha Yanga wengi wana msongo wa mawazo. Hata post za ajabu ajabu. Mara Simba anahonga, au utawasikia tarehe 8 wapo wapo tu. Mnashinda mechi moja halafu mnatoa draw tatu, sijui hata nafasi ya pili kama mtaipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom