Simba Gomeeni kuvaa Nembo ya GSM, Kama Yanga walivyogomea Twiga mwekundu

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Ujinga na tamaa za TFF ndio zinaleta huu mkanganyiko.

Tayari GSM ameshaona kuwekeza Utopoloni ni hasara kwakuwa Utopolo inaishia humu humu, sasa wanajua Ili kupata Faida lazima uweke kitu Simba kwakuwa ndio inaitangaza Soka la Tanzania.. ukizingatia tayari Simba Ipo kwenye makundi ya Shirikisho GSM anatafuta kichochoro kwa Simba kwa Mgongo wa Udhamini wa Ligi lakini lengo lake haswa ni Simba aitangaze GSM.

Kama vile ambavyo Adidas na Puma, Sportpesa na Mbet hazikai jezi Moja. Na kama vile Uto walivyokataa Twiga mwekundu na hawakufanywa kitu basi na Simba haitavaa GSM.
 
GSM Ni group of company.

Wanaweza wakaaumua GSM coconut ndo iwe kampuni ambayo inadhamini league.

Afu pia GSM hakuwafata TFF Ila TFF ndo walimfata GSM kuomba udhamini.
 
Simba wakigoma hakuna kitu TFF watafanya.

Kwa sababu hivi vilabu vya Karikoo ni vikubwa zaidi ya TFF. Simba au Yanga kushuka daraja ni mpaka yesu arudi.
 
Simba ina jina kubwa kwa sasa Africa, jamaa wanataka suport ya matangazo kupitia Mnyama lakini masikini ya Mungu hawawezi.
 
Mtapata tabu sana.Kama una hela tumia hela,mwambieni Mo aweke hela kwenye mpira aache utapeli na ujanja ujanja.Weka mzigo tujue kama kweli uko serious kwenye kuwekeza kwenye Soka la Tanzania,Ligi kuu Bara GSM,Ligi daraja la kwanza Bara GSM,Ligi kuu na ligi daraja la kwanza Zanzibar GSM,Kombe la Mapinduzi Zanzibar GSM.Taarifa nilizonazo hata ligi ya Ndondo Cup GSM anaenda kudhami.Watanzania tunatakiwa tumshukuru Mungu kwa kutuletea mwekezaji mpenda soka kweli kweli,Wale vihere here na wachambuzi Chupli Chupli mtapata tabu sana tena sana Gari la GSM ndiyo limewaka.
 
Si tumekubaliana kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom