MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Matokeo ya mechi ya leo, Machi 8, 2020 yametoa uhalisia kuwa letu la kamati ya ufundi halina tija tena. Machi ya Januari 4, 2020 tulifunga 2 bila halafu Ombaomba FC wakazirudisha. Ni fedheha kubwa kudundwa kimoja na timu yenye njaa.
Ufumbuzi uongozi uwasiliane na Field Marshal Dalali ili aweze kuleta wataalam waliobobea kucheza mechi. Huyo Muhindi MO apewe ukweli kuwa mechi za Simba na Yanga pasipo kupata maelekezo ya mtaalam wa ufundi haswa wa kutoka Pemba tutaendelea kuwa wateja wa Yanga.
Aibu imetukuta leo, mtaani pazito hata jezi zetu hazivalikiiii
Sent using Jamii Forums mobile app