Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,532
- Thread starter
- #101
Kosi ndo hili: bado dakika kadhaa mtanange uanze
Dk 15 zinazokuja boss, SAA 10.00 jioni
Hahahaha dk ya 26 mwarabu huyu tumeshamuelekezea kibla mda wowote tutamchinjaMpira si historia , we subiri mwarabu awatafune tena leo kiroho safi
Sent using Jamii Forums mobile app
TushawapapasaGoalllllllllllllllll
This is simba, kwa mchina kutabakia kuwa machinjioni tuKagereeeeeee huyu mtoto ni balaaaa
Boss nakuhitaji hukuMpira si historia , we subiri mwarabu awatafune tena leo kiroho safi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajjat nakuhitaji uku uje utoe ushuhudaHamna kitu kama hicho Swahiba. Muandike tu maumivu mengine sababu kile kidonda kinatoneswa kwa mara nyingine leo.
Kuwa na amani mama mwarabu tume shampapasa tiyariJamani dakika si ziishe Mungu wangu oooooh
Hakika boss, mpapaso square umekalimika, wnaoteseka wakwapi?
Nimejikuta nalia walah tena yaani daaah sijui hata nisemehe hakika vijana wanastahili pongeziKuwa na amani mama mwarabu tume shampapasa tiyari