brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,876
- 7,366
Suburi uwanjani wewe mpira wa mdomoniView attachment 1020494zimbwe Jr atatoa assist
@ndumbulandema
Sent using Jamii Forums mobile app
Suburi uwanjani wewe mpira wa mdomoniView attachment 1020494zimbwe Jr atatoa assist
Anzeni kutia nywele nzenu maji tu, hakika siku iyo tuta wanyoa kwa chupa ndala fcKwa hiyo leo mnafanyewa send off halafu hiyo tar 16 Ndio mnaolewa kabisa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tayari nina tiketi hapa nasubilia tu around saa 7 nisogee Kwa mchina
Sasa shughuli ya jirani hujaalikwa inakuwaje unaivalia kibwaya?Itakuwa unatumia App basi.
Mie mzima kabisa Swahiba. Nipo naandaa koo langu kwenda kuishangilia Al Ahaly hapa.
Wewe kweli umeanza ushabiki leo hatunaga SIMBA FC Tanzania , tuna SIMBA SC tu wewe hiyo yako ni ya wapiSimba leo tunapindua, matokeo, hakika tutawashangaza hatoki mtu Leo. kwa mchina ni machinjioni kwa yeyote anaye karibishwa tulianza na Swaziland mbane, akafuata nkana akaja mwarabu js soura toka Algeria,
Eee yarabi tunakuomba siku ya Leo, tusamehe pale pote tulipokosoea utusaidie tuweze kurudisha magoli yote, kama ulivyoweza kulisafisha jina la MAN CITY dhidi ya CHELSITA, tusafishe pia sisi zidi ya hao watoto wa farao....Amen.
Uyo Al ahly ndio nani???? Mpapaso square lazima umuhusu Leo.
Msije mkapitisha tu lile bakuli lenu tu, mtatutia aibu mbele ya wageni na hivi supersport wako liveMkuu tayari nina tiketi hapa nasubilia tu around saa 7 nisogee Kwa mchina
Sijaalikwa na nani Swahiba?
Aisee hii mizuka niliopandisha leo dhidi ya hawa waarabu kazi kweli kweli, asante mkuu kwa kunikumbusha ngoja niweke sawa nimeanza shangalia chama hili enzi hizo fund king kibadeni ana watia goli tatu yeye peke yake hawa wa mchangani pale shamba la bibiWewe kweli umeanza ushabiki leo hatunaga SIMBA FC Tanzania , tuna SIMBA SC tu wewe hiyo yako ni ya wapi
Hao wageni wanatoka wapi? Kama wanatoka Africa haina shida maana Huku hakuna donor country wote ombaomba tuMsije mkapitisha tu lile bakuli lenu tu, mtatutia aibu mbele ya wageni na hivi supersport wako live
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya Simba vs Al AhlySijaalikwa na nani Swahiba?
Sijaona aisehh si unajua APP kwenye notification inazingua hebu niambie nikufuate kwenye uzi upi japo nione heri uliotuombe au humu
Nchi hii wanga na wachawi mko wengi kuliko viwandakila la heri national AL AHLY
SIMBA NDIO MTAPAPASWA
Khaaaa. Kwani kuna sehemu pamesema Yanga tusifuatilie.