KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 3,868
- 4,495
TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM?
Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini timu zingine hawajahoji? Nyie ndo mna mawakili wasomi tu eeh?
Sasa chagueni moja mjadala uishe;
1. Kuleta timu uwanjani Jersey zenu zikiwa na Nembo ya boss mkubwa au msuse (Mmepata pa kujificha kuogopa aibu ya kipigo cha mbwa mwizi).
2. Muendelee kuamini Mapopoma wenu wanaoongozwa na GENTAMYCINE na genge lake la wachawi wanaowaaminisha kwamba mtashinda kichawi mbele ya Yanga (wanaomtegemea Mungu) au kumtegemea Mungu.
3. Kuandika barua kwa bodi ya ligi ili isogeze derby iwe mwakani ambapo mtakuwa mmesajili au mlete vikongwe wenu mpate aibu aibu ya kufunga mwaka.
4. Kama hamtaki kuvaa Nembo rudisheni hela za boss🤣🤣🤣
Mdau ongeza chaguzi zingine ili iwe rahisi kuwapa wigo mpana wa kuchagua (OPTIONS)Kilicho bora zaidi.