Simba bila Triple C Chama hakuna on-target hata moja

kabunda88

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
3,095
2,680
Sasa ndio naamin team yangu pendwa simba bila mchezaji aina ya chama hatuna mbinu za kufunga

Hasa tunapocheza na team kubwa nashindwa kuamin mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup hajapiga hata mpira kulenga goli sasa tungefungaje?

Medee kagere mfungaji bora wa VPL misimu miwili yote kashindwa kuchukua na kuweka waaa golini.

Hii yote ukiangalia hapakuwa na mtu km C Chama wa kupenyeza penetrating pass za kutegeneza nafas kwa kina Mugulu.

Utopolo wana lenga lango mara 5 sisi mabingwa mara 0 not fair kipimo cha matola kimeishia hapo hana uwezo wa kutupa ubingwa vpl km anashindwa kutengeneza mbinu za mchezaj kulenga lango.
 
Jana kwa ile style ya game hata angekuwa Chama angepotea, Tena Chama game Kama zile ndo haziwez kabsa pale labda Miqquissone angekaza kidogo
 
To be honest Yanga walikuwa na kila sababu ya kushinda.. Wamejaribu kuonesha nn wanataka golini, just see zile kosakosa langoni mwa simba sijui ndo mnaita shot on target hali ya kuwa Simba hakupata hata 1.. Yanga amecheza bhana hawa vijana naona hata VPL wanainyakuwa hii ni ishara ya nyota mzuri kwao.
Congrula Yanga mmecheza bhana
 
Yanga Ile ni ya kuunga unga na superglue,kama Wameshindwa kuifunga Simba hata 3,zile 4-1 ndo Basi tena
 
Yanga hakuna timu,Kama kikosi kile Cha Simba Wameshindwa kukifunga ndani ya 90'!
Kwani kikosi kile kina kasoro gani ?

Beno kakolanya hana tofauti yyte ile ukimlinganisha na manula.

Gadiel hana tofauti yeyte ile na shabalala, Onyango anacheza first team, Kenedy Juma inakuja inakata namuweka group moja na babu wawa.

Duchu tu ndio inexperienced player kwa derby tu lakini Ki mpira ameshacheza sana hana tofauti yyte na Paul Godfrey wa Yanga.
Tadeo ni usajili wenu mpya hana tofauti na mkude so tadeo ni first team wenu
mzamiru ni first team wenu
HD ni first team wenu pia
kagere ndio top scorer wenu pia
mugalu ingizo lenu jipya.

Mbona Yanga pale nyuma amecheza Ninja na makapu, Adeym, Boxer wote hao hawana number first team
mauya na niyonzima hawana namba first team.

ni hivi jifunze kuappreciate juhudi ze wengine endapo watakuzidi.
 
.... mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup hajapiga hata mpira kulenga goli sasa tungefungaje?
Waliopiga shots on target nyingi lakini hawakufunga na wala hawajatoa mfungaji bora, kwa lugha nyingine ni kwamba hawako makini
 
Kwani Chama ndio nani, huyu si ndio alitaka kupigwa rungu na Hans Pope kwenye mechi ya Yanga iliyopita... Bwalya ndio alitolewa dakika ya 45
 
Sasa ndio naamin team yangu pendwa simba bila mchezaji aina ya chama hatuna mbinu za kufunga

Hasa tunapocheza na team kubwa nashindwa kuamin mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup hajapiga hata mpira kulenga goli sasa tungefungaje?

Medee kagere mfungaji bora wa VPL misimu miwili yote kashindwa kuchukua na kuweka waaa golini.

Hii yote ukiangalia hapakuwa na mtu km C Chama wa kupenyeza penetrating pass za kutegeneza nafas kwa kina Mugulu.

Utopolo wana lenga lango mara 5 sisi mabingwa mara 0 not fair kipimo cha matola kimeishia hapo hana uwezo wa kutupa ubingwa vpl km anashindwa kutengeneza mbinu za mchezaj kulenga lango.
Chama ameshaongeza mkataba na Simba, kwa hiyo ni mchezaji wa Simba hadi 2023 so tujaribu kubadili chorus za wimbo, maana kila siku ni chama chama. Kila siku Chama, Chama, Chama, hebu wapeni heshima na wachezaji wapambanaji wengine. Kwani timu ni washambuliaji tu? Kazi ya mabeki na golikipa hazionekani?
 
Tatizo la Simba timu haikuwa na muunganiko sheva akipata mpira ni kukimbia tu.mbele haangalii wenzake wamekaaje awape pasi, Mzamiru tatizo lake linajulikana mipira yake ya.mwisho sio mizuri, Dilunga anapenda afunge mwenyewe kwa kifupi kocha alishindwa kutengeneza muunganiko na sub yake ya ajib iliharibu kila kitu maana ajibu anacheza kama yuko mwenyewe uwanjani
 
lazima kuwa na appreciation kwa kila timu haijalishi juu ya ushabiki uliokuwa nao.
Kama kawaida ytu tunabeza timu au mchezaji kwa vile tuwaonavyo,lakini kwa uhalisia jana mpira ulikuwa mzuri san kwa timu zote na kile ni kipimo tosha kwa timu zetu hasa zinazoshiriki ligi ya mabingwa Afrika.

Yanga alimpa simba game tough sana tena yenye maswali magumu ambayo si rahisi kuyajibu ikiwa haujamuheshimu mpizani wako. Saido, niyonzima, tuisila, mukoko, Ninja hao ni miongoni mwa waschezaji waliowapa wakati mgumu wachezaji wa simba.

Onyango, mzamiru,gadiel,kahata,duchu nao walipelekea mchezo kunoga zaidi vile jinsi walivoweza kutulia na kuhimili mashumbulizi ya yanga.

yote kwa yote tusiingie na mtokeo mfukoni kwa kubeza wapinzani wetu
 
Back
Top Bottom