Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,663
- 20,418
Ni lini hizo jezi zenye chapa ya GSM zitaanza kuvaliwa? Maana ni kosa kwa klabu kucheza mechi na jezi zisizo na chapa ya mdhamini GSMViongozi wa Simba sio dhambi kukiri kuwa GSM anawavalisha wachezaji wetu