Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 5,661
- 11,701
Sawa MAKOLOUshauri wa daktari unywe maji mengi ukatulie kwenye upepo, hiyo pressure uliyonayo itakuua usipokuwa makini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa MAKOLOUshauri wa daktari unywe maji mengi ukatulie kwenye upepo, hiyo pressure uliyonayo itakuua usipokuwa makini.
Yanga ndio reflection ya taifa lenu. Timu ya taifa ikijaa Simba watupu nayo inakuwa sawa tu na YangaYanga ni moja ya timu mbovu Sana,yaan huwa inapokea kichapo nyumban na ugenin,yaan inatupaga aibu Sana watanzania,
Lakn Simba ni Moto sku zote
Simba oyeeeeeeee!!!!
MolokoHuyo aliyevaa kofia nyeusi ni nani?
mpaka hapo nimekudharau wewe sio wa kuandika hivi
Mmetisha. Kweli this is simba lile goli la tikitaka hatari.
Haha hahah haha umeingiza milioni ngapi baada ya kunidharau?
Kuwa na maoni kinzani ni ruksa kwa sababu kila moja hawezi kuona kwa mtizamo wako wewe. Ukweli ni kwamba inaonekana Asec walisahau kuja na kipa.Wewe utakuwa yanga? Sasa goli kama lile la sakho Angefanyaje? Goli la Banda pia angefanyaje? Penalty unazijua wachache sana wanagusa
Hamjifunzi tu!!!Hii timu ambayo ilikutana na simba leo wangelikutana na yanga hii wangelikuwala 10
Not true.Vice versa is??????
Oyaaa.... Hongera sana kwa Simba
Asante BossOyaaa.... Hongera sana kwa Simba
Hapana, mm siizungumzii nyumba ya jirani, nazungumzia performance ya timu yangu, na matarajio ya nilichotegemea wafanye. Kuna viwango vyetu tulivyovizoea. Kwamba tunahitaji mabadiliko makubwa mwisho wa msimu ktk eneo la ushambuliaji.Team yenye wachezaji wenye msaada iko wapi kimashindano??
Muda ukifika watafanyiwa replacement.
Shida ipo kwenye ushambuliaji mkuu, nakubalian na wewe.Hapana, mm siizungumzii nyumba ya jirani, nazungumzia performance ya timu yangu, na matarajio ya nilichotegemea wafanye. Kuna viwango vyetu tulivyovizoea. Kwamba tunahitaji mabadiliko makubwa mwisho wa msimu ktk eneo la ushambuliaji.