Yanga ni moja ya timu mbovu Sana,yaan huwa inapokea kichapo nyumban na ugenin,yaan inatupaga aibu Sana watanzania,
Lakn Simba ni Moto sku zote

Simba oyeeeeeeee!!!!
Yanga ndio reflection ya taifa lenu. Timu ya taifa ikijaa Simba watupu nayo inakuwa sawa tu na Yanga
Rangi za Yanga ziko kwenye bendera ya taifa, rangi za Simba ziko kwenye bendera za waganga wa kienyeji na wachawi
 
mpaka hapo nimekudharau wewe sio wa kuandika hivi

93B287CB-B4E6-4CE8-941D-7F03F4221821.jpeg
 
Wewe utakuwa yanga? Sasa goli kama lile la sakho Angefanyaje? Goli la Banda pia angefanyaje? Penalty unazijua wachache sana wanagusa
Kuwa na maoni kinzani ni ruksa kwa sababu kila moja hawezi kuona kwa mtizamo wako wewe. Ukweli ni kwamba inaonekana Asec walisahau kuja na kipa.
 
Team yenye wachezaji wenye msaada iko wapi kimashindano??

Muda ukifika watafanyiwa replacement.
Hapana, mm siizungumzii nyumba ya jirani, nazungumzia performance ya timu yangu, na matarajio ya nilichotegemea wafanye. Kuna viwango vyetu tulivyovizoea. Kwamba tunahitaji mabadiliko makubwa mwisho wa msimu ktk eneo la ushambuliaji.
 
Shida ipo kwenye ushambuliaji mkuu, nakubalian na wewe.

Ikiwa kila nafasi inayotengenezwa na viungo inafanyiwa kazi vizuri, team lazima icheze kwa kujiamini.
 
Back
Top Bottom