Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

IMG_3619.jpg
 
ila Inonga aliunyanyua mpira kwa mguu akaupiga kwa kichwa kwa Manula ,hata angeushika Manula bado siyo kosa
Na ndio kitu ambacho mimi najiuliza, kwamba ili faulo ilete mantiki kulitakiwa kuchezeka kosa gani?

Kwasababu hata kama mwamuzi alitafsiri kwamba heninga aliunawa mpira basi ingewekwa penati sio freekick
 
MABINGWA Wapya Mapinduzi CUP 2022 ni Mnyamaaaaaa!
Dah...maisha Yanaenda Kasi Sana ,Yaani Utopolo ndo Wanakuwa Mabingwa wa Historia tena kwenye Mapinduzi Cup.
Yaani Walishawahi kuwa Bingwa huko siku za Nyuma!!
 
Kama kuna mtu wa kulaumiwa basi ni kipa,uzembe wa kiwango cha juu

By the way Azam wamebadilika sana raundi ya pili Simba na Yanga wanaweza wakaambulia point moja au wasipate kabisa...wanaupiga sana sasa hivi tena wanaupiga wa uhakika.Kukosa penati kubwa jinga leo lingeumbuka
 
Ilishazoeleka na ikawa kama desturi kwamba mechi yeyote ambayo simba anacheza afu akahudhuria Rais basi simba lazima inapoteza hiyo mechi

Now tumekuja kubadilisha hiyo imani ya kishirikina, tunakufunga popote as long as tumeamua
 
Back
Top Bottom