Simanjiro kupitisha sheria ya viboko dalili za uongozi mbovu

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,400
Nimeona kwenye taarifa, Simanjiro wameweka sheria za kuchapa watu viboko, katika mambo tuliyomchukia mkoloni hasa wa Kijerumani ni pamoja na tabia ya kuchapa watu viboko, naomba mbunge wa eneo hili akemee hii tabia ya hovyo.
 
Sio huko tu hata,siha .....na mru viboko vipo ..na hii ni sheria ilitungwa na na wananchi wenyewe kwenye mkutano wa hadhara......na haimuhusu mbunge
 
fafanua vizuri basi mtoa madam, kwa nn watu warambwe bakora? uzi ukibaki hivi unakua km unapiga majungu bila kusema sababu, tupe sababu ili tujue km ni sawa au si sawa watu kunyukwa bakora
 
Sio huko tu hata,siha .....na mru viboko vipo ..na hii ni sheria ilitungwa na na wananchi wenyewe kwenye mkutano wa hadhara......na haimuhusu mbunge
Sio huko tu hata,siha .....na mru viboko vipo ..na hii ni sheria ilitungwa na na wananchi wenyewe kwenye mkutano wa hadhara......na haimuhusu mbunge
Sio huko tu hata,siha .....na mru viboko vipo ..na hii ni sheria ilitungwa na na wananchi wenyewe kwenye mkutano wa hadhara......na haimuhusu mbunge
Wabunge wa Siha na simanjiro ni majipu,2020 wasirudishwe.
 
Back
Top Bottom