SIM Tank La Maji Lita 10000 Linauzwa

Wakuu picha hizo za tank.
 

Attachments

  • IMG-20210120-WA0019.jpg
    IMG-20210120-WA0019.jpg
    69 KB · Views: 138
  • IMG-20210120-WA0018.jpg
    IMG-20210120-WA0018.jpg
    68.9 KB · Views: 127
Umeulizwa kampuni gani umesema Simtank wakati sio kweli.
Au ndio nyie kila pikipiki ya miguu mitatu mnaita Bajaj?acheni kukariri Kuna zingine TVS
Mkuu Hilo ni simtank , na yeyote atakaetaka kununua ataliona kwanza na kama co sim tank acnunue Acha kusema vitu Huna uhakika navyo mkuu
 
Jamani msiwe mnaharibia watu biashara me co mwendawazimu niandike Sim tank wkt ni brand nyengine ninachoandika ninauhakika nacho ndio maana nikaandika km unahic co huhitaji ni Bora upite tu
Mkuu labda hilo neno Advantage
Limemchanganya

Sasa mkuu ungeweka mawasiliano yako peupe kuliko hizo pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom