sim card (laini za simu)

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,430
1,773
naomba kufahamishwa kuhusu laini zinazotumika kwa simu zetu hizi je ni card kubwa au micro soft (micr card) . hivo nilivoandika ndio nilivyoulizwa unaweza kurekebisha kama imekosewa. Nina ndugu yangu anataka kunitumia simu toka itali ndio ameniuliza hivyo.
 
hizi za kwetu hapa ni Mini-SIM (line kubwa)

iPhone na baadhi ya samsung kama vile note 2 zinatumia Micro-SIM.

micro-sim inapatikana kwa kukata Mini-SIM kwa kutumia punch machine maalum kwa kukatia line.

Mkuu una uhakika line kubwa tunazotumia zinaitwa Mini-Sim?? Kama ndivyo basi inayotumiwa kwenye iPhone 3Gs ndio Mini-Sim?? Vp za kwenye HTC 1 na Galaxy S3, zile zinaitwaje??
Tukishuka tena kuna za kwenye iPhone 5's ambazo kwa ukubwa ni ndogo ya zote nlizozitaja na hamna sim card ndogo zaidi ya hapo...
Nahisi umeelewa ninapotaka ubadilishe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nenda kwenye kampuni ya simu unayotumia uikate.

Ukiweza kata na kiwembe kama mimi hadi itoshe
 
kuna sim, mini sim aka micro sim na nano sim.

sim ndo haya makubwa yanayoingia kila aina ya simu

micro sim ndio vidogo vya size ya kati kama za kwenye galaxies na smartphone za kisasa

nano sim ndio vidogo kabisa vinapatikana kwenye iphone 5 au 5s

nano_sim.jpg

aina zote tatu za sim zinatumika tanzania hivyo mwambie jamaa alete tu vidude vya kukatia vipo kibao.
 
naomba kufahamishwa kuhusu laini zinazotumika kwa simu zetu hizi je ni card kubwa au micro soft (micr card) . hivo nilivoandika ndio nilivyoulizwa unaweza kurekebisha kama imekosewa. Nina ndugu yangu anataka kunitumia simu toka itali ndio ameniuliza hivyo.

"micro soft", hapo ndipo ilipokosewa..
 
kuna sim, mini sim aka micro sim na nano sim.

sim ndo haya makubwa yanayoingia kila aina ya simu

micro sim ndio vidogo vya size ya kati kama za kwenye galaxies na smartphone za kisasa

nano sim ndio vidogo kabisa vinapatikana kwenye iphone 5 au 5s

nano_sim.jpg

aina zote tatu za sim zinatumika tanzania hivyo mwambie jamaa alete tu vidude vya kukatia vipo kibao.

'...like'
 
Thank you sana wadau ngoja nimwambie atume mzigo sasa. Nashukuru kwa mawazo yenu mazuri.
 
nina uhakika 100%, tambua kwamba line yoyote iliyo katika uhalisia wake (ambayo haijapunguzwa) hiyo ndio MINI-SIM kama vipi Google.

Line ikikatwa inakuwa ndogo zaidi ile sehemu ya plastic inaondolewa, hiyo ni MICRO-SIM.. kuhusu HTC , S3 iphone 3Gs .. ingia GSM ARENA kuna majibu yako yooote. angalia picha hapo chini
yote.jpg
ace.JPG

Back
Top Bottom