Sim card haisomi kwenye Sony experia c6903!

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
653
162
Wadau nina simu tajwa hapo juu ambayo ni Sony experia c6903, kila nikiweka sim card haisomi wala internet network naombeni msaada. Nimeifanyia factory reset lakini bado.
 
IMG_20161214_162727.jpg
 
Izo ndo zile sony na sumsung fake zilizozimwa na tcra kama umenunua kwa mtu plz return it kama humjui umeliwa ila kama ulikuwaunaitumia toka zaman jalibu kuwaona sony wenyewe au iyo chip itest kwenye sm nyingine kwanza
 
Back
Top Bottom