Silver Paradise Hotel: Ukitoka Lazima Chumba Kikaguliwe

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nadhani bado tuko mbali na uendeshaji wa Hoteli zetu

Hoteli ambayo ukiingia unajisajili na details zako zote lakini ukitoka wanakwambia subiri kidogo ati wanaenda kukagua kwanza chumba kama umeondika na kitu chao...........na ni hoteli ambayo wanaaita yenye hadhi huku wakijinasibu kwenye tovuti na mitandao ya kijamii...hapo bado sijaeleza mengi kuhusu poor customer care yao

Hoteli hii ipo Manzese Da Es Salaam na ni mupya kabisa ila nimesakanya kwenye wavuti na kuona ina matawi mengine hapa jijini

61972090.jpg

An Inside Look at Silver Paradise Hotel
Silver paradise hotel ltd is a grand classic new hotel located at Manzese-Mnazi Mmoja in Dar es Salaam, 1 kilometer from Morogoro main road. Silver paradise hotel ltd, Manzese-Mnazi Mmoja is home to many embassies and international companies. Silver paradise hotel ltd is the cheapest hotel in Dar es Salaam hotels

Silver Paradise Hotel, Dar es Salaam, Tanzania
 
Hata mie nakubaliana nao kuna baadhi ya watu hawapo wastaarabu, Anakuja kutumia chumba halafu anaondoka na vitu au anafanya uchafu wa hali ya juu kisa kalipa bei kubwa.
 
Kama umetembelea mahotel makubwa duniani hutoshangaa utaratibu huu mkuu
Ni kawaida kukagua na hoteli zingine wanakuwekea consumables kama drinks, cookies etc hivyo watahitaji kujua umetumia kiasi gani ili wa include kwenye bill
Kawaida unatoa taarifa ya kucheck out na unaombwa dk kama kumi za kukagua
 
View attachment 323830

acha utani bhana, Manzese hamna hoteli, hiyo silver paradise hotel ni jina tu, ila in real sence ni GESTI YA GHOROFA
 
Mkuu Amavubi hata usiwalaumu yawezekana hayo ni maelekezo kutoka kwa mabosi wao ili kudhibiti wizi maana wengine huiba hata ndala.
Ila kwa upande mwingine inadhalilisha na kushusha hadhi ya mteja na hoteli yenyewe.[/QUOTE]
hapo mwishoni nimekusoma sana na ndio kero yangu
 
Kama umetembelea mahotel makubwa duniani hutoshangaa utaratibu huu mkuu
Ni kawaida kukagua na hoteli zingine wanakuwekea consumables kama drinks, cookies etc hivyo watahitaji kujua umetumia kiasi gani ili wa include kwenye bill
Kawaida unatoa taarifa ya kucheck out na unaombwa dk kama kumi za kukagua
kwa kweli katika mahoteli makubwa sijaliona hilo labda natemebela mahoteli ya kiwango cha vumbi
 
Hata mie nakubaliana nao kuna baadhi ya watu hawapo wastaarabu, Anakuja kutumia chumba halafu anaondoka na vitu au anafanya uchafu wa hali ya juu kisa kalipa bei kubwa.
hapo unagusa kundi fulani....................
 
Nadhani bado tuko mbali na uendeshaji wa Hoteli zetu

Hoteli ambayo ukiingia unajisajili na details zako zote lakini ukitoka wanakwambia subiri kidogo ati wanaenda kukagua kwanza chumba kama umeondika na kitu chao...........na ni hoteli ambayo wanaaita yenye hadhi huku wakijinasibu kwenye tovuti na mitandao ya kijamii...hapo bado sijaeleza mengi kuhusu poor customer care yao

Hoteli hii ipo Manzese Da Es Salaam na ni mupya kabisa ila nimesakanya kwenye wavuti na kuona ina matawi mengine hapa jijini

View attachment 323830
An Inside Look at Silver Paradise Hotel
Silver paradise hotel ltd is a grand classic new hotel located at Manzese-Mnazi Mmoja in Dar es Salaam, 1 kilometer from Morogoro main road. Silver paradise hotel ltd, Manzese-Mnazi Mmoja is home to many embassies and international companies. Silver paradise hotel ltd is the cheapest hotel in Dar es Salaam hotels

Silver Paradise Hotel, Dar es Salaam, Tanzania
"Manzese-Mnazi mmoja is home to many Embassies and International Companies"!!!!!!!!!?????? WTF!??
 
Back
Top Bottom