Silly things we cling to

I am a chupi collector.

Every chick I smash I keep one of her underwear.

What do I do with them? Nothing important. It’s just silly stuff.

Sometimes I wear them around my neck. Sometimes I just look at them. Other times I sniff them.

I know....I’m very eccentric teh teh teh....
Sawa nyani ngabu tumekusoma
 
Nina Shem wangu bana ilibidi mswaki wake tuuvizie tuutupe. Ulishaisha ukawa umebaki bristles kama kumi na bado anautumia eti kisa aliununua Uganda alipoenda kumtembelea Ex Gf wake. :p:p
Vita yake ilikuwaje baada ya kutoonekana mswaki wake?
 
Barua ambazo mke wangu alikuwa ananiandikia wakati tunachumbiana......sijui kwanini nilizihifadhi na kuhama nazo kila wilaya!Niliachana nazo miaka michache iliyopita.
 
mi nina diary yangu ya zamani tangu niko secondary nilikuwa naandika humo chochote cha tofauti kinachonikuta katika siku. my first crush nilimuandika humo mpaka alivokuja kuwa boyfriend na safari ya mahusiano yetu yaliyochukua miaka kadhaa mpaka kuachana vyote vipo humo. nilimove on ila mara chache huwa napenda kuisoma na kucheka mambo ya kitoto niliyoyafanya.
 
Well, vinaweza kuwa sio vya kipuuzi wala clutter as such. But kuna vitu ambavyo huwa tunaviweka maishani mwetu na sio vya umuhimu kivileee ila basi tu.

Nina mkanda wangu aisee huu ni mwaka wa 12 kama sikosei nauvaa tu. I should be ashamed but am not. Nina memories nao nakumbuka it belonged to my boyfriend who is now my husband. Na mara ya kwanza kuuvaa nilikuwa sijui kuufungua na hapo nilibanwa ku pee so my male bestfriend had to do me the honor.

Nina Shem wangu bana ilibidi mswaki wake tuuvizie tuutupe. Ulishaisha ukawa umebaki bristles kama kumi na bado anautumia eti kisa aliununua Uganda alipoenda kumtembelea Ex Gf wake. :p:p

So tutieni story, una kitu gani ambacho umekiweka mda mrefu ? Kwanini bado unacho na una memories gani nacho? :D:D:D:D

Hornet, Mentor Asprin Da vincci Mzigua90 etc
Kumbe wewe Karucee ni demu, ila una akili sana, nimechungulia nyuzi zako ni nzito nzito, basi i love u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnakamdoli tangu 2012 nimekahifadhi tyuu

Hako kamdoli nilikapenda saba kalikuwa kwenye zipu ya pochi Ila Hiyo pochi ckuipenda nilipenda mdoli tyuu

Ikabidi nimbembeleze anaeuza iyo pochi aniuzie mdoli peke ake, wakati nambembeleza rafiki yangu alimchomoa uyo mdoli akamweka kwenye pochi yake kimyaa tukanunua pochi nyingine tofauti naile,njian ndo akanipaga mpk leo kapo tyuu Japo kuwa hakana kazi sehemu ya kupitishia kamba ili nimweke kwenye zipu ilishavunjikaga muda tu
Daah kamdoli ka wizi yaani mmekaiba tokea mwaka 2012 mpk leo bado unachuma zambi tu kukaa nacho.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom