Silioni pengo la Niyonzima Yanga

We umezqliwa miaka ya tisini.hukuwahi kumuona pale yanga mtu kama method mogella,athuman china,edibily lunyamila,constantine kimanda,juma mkambi, n.k tu mana unasema pengo halizibiki
 
Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.
Ni kweli kabisa pengo halitakuwepo ndio maana mnachoma jezi zake
 
Pengo liwepo au lisiwepo ukweli ni kwamba Haruna asingechezea Yanga maisha yake yote! Watakuja wachezaji wengine wazuri na tutamsahau kabisa huyo Haruna hata na hao kina Donard na Simon! Yanga daima mbele nyuma mwiko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom