Silinde: Tuko tayari kwa mazungumzo na Naibu Spika

Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,793
2,399
Akihojiwa na kituo cha Azam Tv habari, mbunge wa Chadema Mh. Silinde amedai kuwa wako tayari kwa mazungumzo na Naibu Speaker kuhusu sibtofahamu iliyopo.
My take. Naona uamuzi wa kuzuia posho imeanza kuzaa matunda. Sitashangaa kusikia wamekubaliana na Naibu Speaker na wameamua kurudi bungeni.
 
Akihojiwa na kituo cha Azam Tv habari, mbunge wa Chadema Mh. Lusinde amedai kuwa wako tayari kwa mazungumzo na Naibu Speaker kuhusu sibtofahamu iliyopo.
My take. Naona uamuzi wa kuzuia posho imeanza kuzaa matunda. Sitashangaa kusikia wamekubaliana na Naibu Speaker na wameamua kurudi bungeni.
Wakirudi bungeni mimi nahama nchi, hahahaha, Tz naipenda siwezi kuhama
 
Warudi tu, maana wengi wao ubunge wameupata kwa figisu figisu sasa wakikatiwa posho ni hasara kwao.!
Ubunge ni ajira kama ajira zingine, hivyo nani yupo tayari kufanya kazi bila maslai ukizingatia kazi yenyewe ameipata kwa shida.?

Kwa sababu mpaka sasa sijaona mbunge ambaye yupo tayari kujiuzulu ubunge kwa kulipigania Taifa hivyo tumbo Kwanza Tanzania baadae.
 
Hebu someni ndani muone mnavyofanywa wajinga
Tangu lini Lusinde akawa M mbunge wa Chadema?
 
Sidhani kama upinzani ulishawahi kukataa mtu, walichokataa ni mtu kuwakandamiza. Wakiongea, Tulia akaamua kutuliza mzuka wake, basi watarudi bungeni kwani ndio mahali pao pa kazi. Bunge bila upinzani sio bunge hilo.
Mnaosema ati ni posho zinawasumbua nadhani wanaosumbuliwa na posho ni CCM kwa kwenda kusinzia mle ndani na kusema; Ndiyooooo hata kuwa upuuzi
 
Akihojiwa na kituo cha Azam Tv habari, mbunge wa Chadema Mh. Silinde amedai kuwa wako tayari kwa mazungumzo na Naibu Speaker kuhusu sibtofahamu iliyopo.
My take. Naona uamuzi wa kuzuia posho imeanza kuzaa matunda. Sitashangaa kusikia wamekubaliana na Naibu Speaker na wameamua kurudi bungeni.

Silinde ni mbunge wa wapi?, halafu ungetuwekea japo clip ili tulinganishe na unachoongea maana wabongo kwa kubadilisha maneno hamjambo
 
Back
Top Bottom