Silinde: Maamuzi ya kutufukuza ni ya kitoto. Kuna udikteta CHADEMA, Mbowe ajitafakari na kuachia Uenyekiti

Mkuu hata kama wewe ni mwendawazimu ila kwenye hili lazima uone kuna tatizo kubwa kwenye uongozi vyama vya upinzani. Mbowe siyo mamlaka ya serikali na siyo msemaji wa wana momba, mbunge kuhudhuria bungeni kuwawakilisha wananchi wake ni kosa???? Ni kichaa na mwendawazimu ka wewe ndiye anasapoti upinzani na maamuzi ya kijinga namna hii.
Ukiwa na kijana wa kiume asiyekutii kama baba, huwezi kutimka na kumwachia mji. Bora umtimuwe akaanzishe mji wake. Ushauri :Wabunge mapoyoyo waliotimuliwa uanachama wa Chadema wajiunge ccm au ccm b-nccr.
 
Mkuu hata kama wewe ni mwendawazimu ila kwenye hili lazima uone kuna tatizo kubwa kwenye uongozi vyama vya upinzani. Mbowe siyo mamlaka ya serikali na siyo msemaji wa wana momba, mbunge kuhudhuria bungeni kuwawakilisha wananchi wake ni kosa???? Ni kichaa na mwendawazimu ka wewe ndiye anasapoti upinzani na maamuzi ya kijinga namna hii.
Jamaa ana maamuzi ya ajabu kweli, kufukuza wabunge wanne anakiua chama kabisa
 
Back
Top Bottom