Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Silinde Ernest David.
USHINDI WA LISSU NA TAFSIRI YA UTAWALA BORA:-
Huwezi kushindana na nguvu ya demokrasia ya kura hususani kwa wasomi kama mawakili katika kuwaamulia nani awe kiongozi unayemtaka.
Unaweza kuwatawala watu/muhimili fulani pale unapoweza kubandika(kuteua) nafasi ambayo ipo ktk mamlaka uliyopewa kuteua.
Lissu kupata kura 1411 out of 1680 sawa na 84% ni ishara ya kukubalika pasiposhaka na hasira dhidi ya kuingiliwa mhimili wa mahakama na serikali.
Ni mtazamo tu vile mi nimeona!! Hongera sana Jembe Tundu Antiphas Lissu!!