Silicon Dar: Je ni suluhisho la kweli au janja janja?

ni kweli kabisa mie binafsi nilikuwa nafuatilia the same issue nakumbuka nikauliza hapa hapa JF na wapo walioninanga... anyways kuna mengi ambayo naweza kukushauri ila ni mpaka nijue kampuni yako inahusika na nini, vile vile sitaki kujua kampuni yako inahusika na nini nisije nikaiba idea hahahaha however ingia humu utapata mawili matatu
Fast offshore company registration | Just From US$439 in 30 Mins
Sio kweli startup nyingi za Tanzania zina idea za kawaida sana ambazo ni ngumu kumshaeishi investor akaweka mzigo wa maana
 
Sahara venture ni madalali hio ndo changamoto, silicon dar Kuna madalali wengi wanaoingia front na kuja na idea ni wachache, na hata ambao Wana idea wanakuja na connect platforms, Mara app ya kukutanisha na mwanasheria, na n.k

Watu wanatakiwa waje na solutions zinazoisumbua dunia

Hizo App mashuhuri duniani zinatoa Huduma za kidalali inamaanisha nini kusema matatizo yanayosumbua Dunia.
 
Sio kweli. Tukisema hivi tusingekuwepo na maxmalipo kusingekuwepo na selcom Wala kina Bcx. Na ukitamka neno investor sio lazima aje kutokea nje ya nchi wengi Sana hapa bongo waliopata challenges ya mtaji waliswitch kufanya services na baada ya hapo kufocus na product zao na ndipo trust za investment toka kwa wadau mbalimbal zinatokea na wanasogea mbele, fuatilia kwanini mitandao ya simu Kama Airtel Tigo Vodacom wamenunua product za startups izo izo za kibongo na kwanini Vodacom Wana accelerator sasaivi .
Maxmalipo ipo
 
Utekelezaji wake umeshaanza mkuu, ndio maana makao makuu ya makampuni mengi ya simu yapo maeneo hayo, Zantel, Airtel, Tigo, Voda, Halotel.
 
Tanzania waliondolewa kisiasa
Siwezi jua . Lakin kampuni hizi ndogo zikishakuwa kubwa Tanzania figisu zinaanza yanawakuta ya maxmalipo. Hapa kwenyewe tumekuwa tukisema makampuni ya Tanzania badala ya kuwajenga kwa positive criticism . Nadhani ukitaka kutoka Tz ziba maskio chapa kazi otherwise huwezi Toboa
 
Siwezi jua . Lakin kampuni hizi ndogo zikishakuwa kubwa Tanzania figisu zinaanza yanawakuta ya maxmalipo. Hapa kwenyewe tumekuwa tukisema makampuni ya Tanzania badala ya kuwajenga kwa positive criticism . Nadhani ukitaka kutoka Tz ziba maskio chapa kazi otherwise huwezi Toboa
Ni kweli Tanzania inabidi uzibe masikio
 
...Swali lako zuri Sana. Majibu yake yatasaidia wengi.





Regards,
JP
Matajiri wa kibongo hawana utamaduni wa kuwekeza kwenye start-up, labda makampuni na yenyewe ni yale yanayomilikiwa na foreigners, ukute kampuni ya mbongo mzawa Ina support startup ni chache sana
 
Nala angechukua mfumo wa Monzo ile ya Uingereza kwa soko la Africa sio Tanzania Africa atapiga sana hela

Watu wanahitaji Neobank

Ikitokea mtu Africa akaanzisha Neobank kama N26 ya Germany na Monzo ya Uingereza atapata sana atengeneze Neobank a integrate na banks account za watu na businesses nyingi Africa watapiga hela sana sana

Good idea, kwa nini usianzishe? I mean tusiwangoje NALA :D
 
Nala angechukua mfumo wa Monzo ile ya Uingereza kwa soko la Africa sio Tanzania Africa atapiga sana hela

Watu wanahitaji Neobank

Ikitokea mtu Africa akaanzisha Neobank kama N26 ya Germany na Monzo ya Uingereza atapata sana atengeneze Neobank a integrate na banks account za watu na businesses nyingi Africa watapiga hela sana sana
Kwa hiyo acopy na kupaste hii ni moja ya sababu nyingine investors awaweki ela kwenye start-up za afrika
 
Mwenye interest
Nilikua na hii project ya bei za mazao sokoni atakaeweza aifanyie kazi,mi niliishia njiani

The idea was;
Kuwa na app ambayo itakupa real prices za bidhaa katika eneo husika
Aina ya bidhaa ni nafaka sana sana ama common products...

Watu wa mitandao ya simu walisema inawezekana

Input ya hizo bei tutalazimika kuwa na agent kwenye kila soko kuu/kubwa la mkoa ama wilaya ambae ata'key in bei husika kwa siku hio...na hapa ndio inabidi uwe makini ziwekwe taarifa sahihi

Watumiaji;
Wakulima, wafanyabiashara na raia wa kawaida

Faida;
Market analysis ya bei inaweza msaidia mnunuzi ama muuzaji kujua akauze ama akanunue wapi kitu husika

Hapo kwenye faida iko upande mmoja
 
Back
Top Bottom