Alikuwa mpiga maji mzuriAliokoka, akawa anaswali kwa mChungaji Rwakatare pale mikocheni B na baadae akarudi nyuma baadae akaacha wokovu na shetani akapita naye na sasa amerudi wak Yesu.
Ukumbi ulivunjwa na jeshi baada ya migogoro usisuluhishika kwa vile huyo muhaya jengo lilikuwa lake,ardhi ya mchaga Mmoja anaitwa shirima,naomba niishike hapo kwa sababu rwegasira amekimbilia kwa yesu
Kuna yule immigration officer wa kuitwa ally kilewoKituo cha kuwakamatia wacongo wahamiaji haramu
Ups and downs wakati unaenda club bar tushirikishe brother...... Hao madj tutatumia wa clouds 🤣Hapo yupo dj rankim ramadhan nyamka tena
Mwamba alikuwa anajuwa sana
Ova
Hao sio wazee wa ".....Kimalu malu......".Nakumbuka enzi zile kila Ijumaa,Faculty Day bonanza,wanavyuo wote wa Dar wanasombwa na mabasi bure wanaletwa New Silent Inn Mwenge.Kiingilio buku,anaanza DJ Fast Eddy kisha kwenye mida ya tano hivi wanapanda Diamond Sound Band "Ikibinda Nkoi".Wakishuka jukwaani Fast Eddy anamalizia show.Nawakumbuka baadhi yao wana Ikibinda Nkoi:
Ellyston Angai - solo guitar - band leader
Elly Chinyama - solo guitar/rythym guitar
Adolph Mbinga - solo guitar
Saido - rythym guitar
Gabby Katanga - Drums
Kessy Kitindi - Drums
Jaji Jumanne "Jojo" - bass guitar
MCD - Tumba
Motoo - Tumba
Andrew Sekidia - Keyboards
Zola Ndonga - Vocals
Balusi Canta - Vocals
Rogers Muzungu - Vocals
Germa Kissa - Vocals
Mackay Fanta - Vocals
Richard Mangustino - Vocals
Alain Mulumba Kashama - rapper
Livason Hassan Sultan - rapper
Anicet Petelo - rapper
Halima Abeid "Mama Lao" - stage show
Diana Aston Villa - stage show
Lilian Internet - stage show
Elly Longomba - stage show
Kamuke Sukari - stage show
Janet Jackson Isinike - stage show
Salum Pongwe - Sound engineer
Huyu Rwegasira alikuwa na Silent in na diamond sound then Feliacian Muta yeye alikuwa na FM recording studio akianzia MWANZA then kinondoni Studio. FM studio 55. ndiye boss wa Saida Kaloli
Nakumbuka watoto wa kike wengi walipata mimba
Msafiri Diouf yupo!!?Katika wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya, sikuwahi kuona mwenye kipaji hatari kuzidi banza, banza alikuwa anajua, banza alikuwa fundi.. mtaalamu wa kutengeneza muziki mzuri..
Pale kwenye unga alifeli sana..
Mtu pesa, kumekucha, aungurumapo simba, mtaji wa maskini, mwenye kwenu kwaheri, sweet baby etc ... ni ngoma zitakazoishi vizazi na vizazi..
Ile mtu pesa pekee yake, inafaa kuwa namba 1,2,3 kwa ngoma za dansi za kizazi kile.
Ndiyo ukweli wenyewe huoMwananyamala Komakoma walipuputika,watu walizika mtaa kwa mtaa.
Ulipokuwa unazungumzia kauli ya Diana Aston Villa (Monica Vincent) kuhusu kuambukiza UKIMWI, ulikuwa unamaanisha sakata lililotokea mwaka 2009 na 2010 nchini Tanzania.
Kabla ya kufariki kwake mnamo Aprili 2010, aliyekuwa mnenguaji nyota wa bendi ya Twanga Pepeta, alitoa kauli tata alipokuwa akiugua. Diana alidai kuwa hali yake ilikuwa mbaya na akawataja baadhi ya mastaa na wanamuziki wenzake (kama vile Banza Stone na Ally Choki) kuwa walikuwa wagonjwa na wangemfuata.
Kauli hii ilileta mtafaruko mkubwa kwenye vyombo vya habari na jamii, kwani ilionekana kama anatabiri au kutaja watu ambao angewaambukiza ugonjwa huo au ambao walikuwa wakiishi nao.
YUpoMsafiri Diouf yupo!!?
Duuuh, mnastahili heshima kubwa kutoka kwetu😂Nakumbuka mwaka 1987 alikujaga Mbilia Bel hapo Silent Inn.
Ilikuwa concert moja kabambe sana.
😉.
Hawa machawa maslahi tu wanaunga mkono kila kitu ilimradi wapate chochote hahusiani na wakojani kabisaKip
Kipindi hicho kumbe ulikua hukai kizimkazi?
Young millionaire ameimbwa kwenye wimbo wa prof J piga makofiMkuu umenikumbusha mbali sana,
Nimeikumbuka mpaka Lang'ata Social Hall ya Kinondoni,chini ya ma DJ's Chriss Phabby na Young Millionaire.
Lilian InternetMwananyamala Komakoma walipuputika,watu walizika mtaa kwa mtaa.
Ulipokuwa unazungumzia kauli ya Diana Aston Villa (Monica Vincent) kuhusu kuambukiza UKIMWI, ulikuwa unamaanisha sakata lililotokea mwaka 2009 na 2010 nchini Tanzania.
Kabla ya kufariki kwake mnamo Aprili 2010, aliyekuwa mnenguaji nyota wa bendi ya Twanga Pepeta, alitoa kauli tata alipokuwa akiugua. Diana alidai kuwa hali yake ilikuwa mbaya na akawataja baadhi ya mastaa na wanamuziki wenzake (kama vile Banza Stone na Ally Choki) kuwa walikuwa wagonjwa na wangemfuata.
Kauli hii ilileta mtafaruko mkubwa kwenye vyombo vya habari na jamii, kwani ilionekana kama anatabiri au kutaja watu ambao angewaambukiza ugonjwa huo au ambao walikuwa wakiishi nao.
Riziki ni kuimba na kucheza lakini "si kuuza kisambusa".Lilian Internet
Diana Aston Villa
Asha Marinda
MUNGU awapunguzie madhira ya KABURI awaweke mahala pema peponi...walikuwa wanajitafutia riziki kuhudumia familia zao
mkongwe mwenzangu, tulikuwa tunacheza kaseti zak na watoto tunawawekea mikanda ya video.Hao sio wazee wa ".....Kimalu malu......".
RIP
Aisha madinda hakika ulinisha kwa tabasamu lako