Silengi kukera: Lowassa ni 'mwalimu' wa WM Majaliwa,Waziri Lukuvi na Makonda

Hapo ndio pagumu sana kwake. Hata Mwaka Jana alipata kura za hasira na sio uwezo wa kujieleza!!
 
Katika kipindi cha kampeni mwaka jana Ndugu Lowassa hakuwahi kuzungumza maneno kumi kwa mara moja,mara nyingi alizungumza maneno matatu au manne nikafikiri labda ilikuwa ni uchovu ulichangiwa na hasira za kutopitishwa na CCM.

Lakini ninachoshuhudia sasa kwenye ziara zake huko mikoa ya kusini ni aibu, hawezi kujenga hoja kabisa.

Kwa sasa amebaki na kauli mbiu moja tu 'walinisema mimi ni mgonjwa lakini nipo hai'.

Kwa watu makini mtanielewa ya kuwa kwa mwanasiasa mahiri yeyote ni lazima uwe mahiri kwenye kuongea,kutoa maagizo,kukemea,kupongeza na kushawishi umma na sio kutegemea kundi la wafuasi wakusemee.

Kama udhaifu huu utaendelea ni vema wafuasi wake nayeye mwenyewe atambue ya kwamba ni mzigo,kushindwa kujenga hoja na kushikilia sentensi moja ili kupata huruma ni udhaifu mkubwa sana.

Nawasilisha.

Sikubaliani na mengine aliyoandika mleta mada lakini huwa najiuliza hapo penye nyekundu huyu bwana anashawishi watu kwa njia gani. Najua ni mvumilivu lakini hata anapopewa nafasi kuzungumza anakuwa na majibu mafupi sana. Msikilize Nyerere, Mbowe, Slaa, Tundu Lissu, Mdee wakijenga hoja halafu linganisha na EL. Labda watu wakaribu wanajua utendaji wake vizuri lakini naamini angefanya vizuri zaidi kwenye kura kama watu wanajua anasimamia nini na ana "articulate" vizuri misimamo yake. I hope kama CDM "wanataka" awe mgombea wao wa 2020 hili wataliona na kulifanyia kazi.
 
sasa kama anaongea maneno matatu tu mnahaha mpk mnafunga magoli ya mikono akiongea maneno kumi c ndo mtatia pira kwapani kabisa!! nyie matapeli mna matatizo sana
 
Katika kipindi cha kampeni mwaka jana Ndugu Lowassa hakuwahi kuzungumza maneno kumi kwa mara moja,mara nyingi alizungumza maneno matatu au manne nikafikiri labda ilikuwa ni uchovu ulichangiwa na hasira za kutopitishwa na CCM.

Lakini ninachoshuhudia sasa kwenye ziara zake huko mikoa ya kusini ni aibu, hawezi kujenga hoja kabisa.

Kwa sasa amebaki na kauli mbiu moja tu 'walinisema mimi ni mgonjwa lakini nipo hai'.

Kwa watu makini mtanielewa ya kuwa kwa mwanasiasa mahiri yeyote ni lazima uwe mahiri kwenye kuongea,kutoa maagizo,kukemea,kupongeza na kushawishi umma na sio kutegemea kundi la wafuasi wakusemee.

Kama udhaifu huu utaendelea ni vema wafuasi wake nayeye mwenyewe atambue ya kwamba ni mzigo,kushindwa kujenga hoja na kushikilia sentensi moja ili kupata huruma ni udhaifu mkubwa sana.

Nawasilisha.
Hoja ni pamoja na Push ups ambazo leo uchumi unayoyoma ..........Mbona hatuoni tena mbwebwe za kuongea vilugha vyote vya kienyeji ? KUNYWA MAJI MWANANGU
 
Jikite kwenye mada....,huwezi kutegemea kuishi kwa kupewa hela na shemeji tafuta kazi kama shemeji katumbuliwa.
 
Katika kipindi cha kampeni mwaka jana Ndugu Lowassa hakuwahi kuzungumza maneno kumi kwa mara moja,mara nyingi alizungumza maneno matatu au manne nikafikiri labda ilikuwa ni uchovu ulichangiwa na hasira za kutopitishwa na CCM.

Lakini ninachoshuhudia sasa kwenye ziara zake huko mikoa ya kusini ni aibu, hawezi kujenga hoja kabisa.

Kwa sasa amebaki na kauli mbiu moja tu 'walinisema mimi ni mgonjwa lakini nipo hai'.

Kwa watu makini mtanielewa ya kuwa kwa mwanasiasa mahiri yeyote ni lazima uwe mahiri kwenye kuongea,kutoa maagizo,kukemea,kupongeza na kushawishi umma na sio kutegemea kundi la wafuasi wakusemee.

Kama udhaifu huu utaendelea ni vema wafuasi wake nayeye mwenyewe atambue ya kwamba ni mzigo,kushindwa kujenga hoja na kushikilia sentensi moja ili kupata huruma ni udhaifu mkubwa sana.

Nawasilisha.
Siasa zimepigwa marufuku mpaka 2020 .sasa unataka Lowasa akajielezee wapi
 
Porojo za JK ziliyusaidia nini?Matamko ya mwendokasi ya Magu yana faida gani kama mambo ndio yanazidi kuharibika?Imefika mpaka watu wanashauri Rais awe anasoma hotuba kuliko kujiongelea tu.Kuongea na kubaki kwenye mstari ni kipaji,aliweza mwalimu JKN.
Kwa hiyo unamaanisha rais sio lazima ujue kujenga hoja na kuIsimamia. Hizo ni mbwebwe sio
 
Back
Top Bottom