Silazimishi (Siwalazimishi) ila kwa Kikosi hiki kama Kikipangwa Kesho huenda Malaika wote na Mungu nae akawa upande Wetu Simba SC

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,424
2,000
Hakuna kikosi ambacho Simba wanaweza kukipanga na wakaitoa Kaizer Chiefs. HAKUNA

Kwa mpira wa Chiefs Simba anaweza akala kichapo na kesho pia.

Kaizer ni wanyonge mdomoni lakin hatar sana uwanjan contrary to SSC ambao ni Barcelona mdomoni lakini ni Simba ya Kariakoo uwanjani.

Mtaikumbuka hii Comment. Kwanza kiuhalisia japo Manara anababwaja babwaja kujipa matumain hewa lakini Wachezaji wa Simba hasa Manula na Onyango hadi benchi la ufundi wanaiogopa mno Chiefs .
nani kakuambia kaizer wanyonge mdomoni? kwa taarifa yako hakuna wapiga mdomo kama hao south africa hii mechi yetu kwenye social media inaitwa battle of loudspeakers hata twitter kule CAF wana enjoy sana ku ipost kila wakati inapata comments nyingi sana ,ila kesho wanakufa 6-0 leo usiku saa tano wanachukuliwa kimazingara kwenda kufanyishwa kazi kiwanda cha wazo hill cement wasaidie kukuza uchumi wa nchi kwanza
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
8,200
2,000
Hakuna kikosi ambacho Simba wanaweza kukipanga na wakaitoa Kaizer Chiefs. HAKUNA

Kwa mpira wa Chiefs Simba anaweza akala kichapo na kesho pia.

Kaizer ni wanyonge mdomoni lakin hatar sana uwanjan contrary to SSC ambao ni Barcelona mdomoni lakini ni Simba ya Kariakoo uwanjani.

Mtaikumbuka hii Comment. Kwanza kiuhalisia japo Manara anababwaja babwaja kujipa matumain hewa lakini Wachezaji wa Simba hasa Manula na Onyango hadi benchi la ufundi wanaiogopa mno Chiefs .
Tulia kaka sio kila comment itakumbukwa kishujaa nyingine hukumbukwa kwa kuchambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom