Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,800
- 34,189
SILAHA WANAZOTUMIA WA-MAREKANI KUWAANGAMIZA WATU MC-DONALD NA BURGER KING. VYAKULA FEKI AKA (JUNK FOODS)
Sio kuishi kwingi maradhi mengi na wapo wengi hata wakipunguwa kwa kifo bado still wapo wengi sisi tupo wachache kuliko wao wapo wengi Wamarekani.Ila wanaishi miaka mingi kuliko sisi
Viazi mbatata Ukivichemsha ni bora kuliko kupika chips.Ok. Ngoja turudi kwenye mbatata
Wamarekani wanawaangamiza akina nani sasa?SILAHA WANAZOTUMIA WA-MAREKANI KUWAANGAMIZA WATU MC-DONALD NA BURGER KING. VYAKULA FEKI AKA (JUNK FOODS)
View attachment 484373
Binadamu wote haswa watu masikini watu wa barala Asia na Bara la Afrika. Ukila hivyo vyakula feki aka (Junk food) utapatwa na magonjwa ya ajabu maradhi ya Saratani,Maradhi ya kisukari,Maradhi ya Presha na unene kupita kiasi kisha Wamarekani wanakuja kutuuzia madawa yao kwa bei ghali. Wanatuuwa Taratibu aka (Silent Killer)Wamarekani wanawaangamiza akina nani sasa?
Ama wanajiangamiza wenyewe?
[QUOTE="MziziMkavu, post: 20271822, member: 13422"
]Pia viazi hivyo, husaidia kwa wale wenye matatizo ya jongo (gout) na huondoa sumu mwilini (antidote, acidosis
Kiazi chenye rangi ya kijanihuku kiazi cha kijani sana kikiwa na chembe chembe fulani za sumu zijulikanazo kama vile 'solanine’inayoathiri sehemu ya via vya uzazi.[/QUOTE]
Mkuu mzizimkavu, penye nyekundu hapo naomba ufafanuzi, kiazi cha kijani kivipi.
Unaweza kuipata nitafute Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App+44-7459-370-172 Au Ni add Kwa Facebook Bonyeza hapa Herbalist MziziMkavuMziziMkavu ntapata ile B5A?
Viaz mbatata ukila na maziwa fresh vitamuViazi mbatata Ukivichemsha ni bora kuliko kupika chips.
VIAZI MVIRINGO VINAPOTUMIKA VIZURI HUWEZA KUWA DAWA YA MATATIZO YA NGOZI
Mara nyingi tumekuwa tukitumia viazi mviringo kama chakula ambacho huweza kupikwa au kutengenezwa kwa namna mbalimbali kutokana na uhitaji wa mhusika.
viazi vikipondwa na kubandikwa juu ya tatizo lolote la ngozi au bawasira huwa tiba nzuri sana.
Aidha, juisi ya kiazi kilichopondwa ni nzuri sana kwa matatizo kama baridi yabisi, vidonda vya tumbo, asidi ya tumboni.
Pia viazi hivyo, husaidia kwa wale wenye matatizo ya jongo (gout) na huondoa sumu mwilini (antidote, acidosis), huku kiazi cha kijani sana kikiwa na chembe chembe fulani za sumu zijulikanazo kama vile 'solanine’inayoathiri sehemu ya via vya uzazi.
Hali kadhalika, kiazi pia ni ‘tonic’ nzuri sana ya ngozi, kinachotakiwa kufanyika katika hili ni kunawia juisi yake na machicha yake utayabandika kila mahali juu ya ngozi na itasaidia kuondoa makunyanzi yote ya uzee pamoja na kulainisha ngozi.
Hiyo B5A ndio kitu gani tafadhaliUnaweza kuipata nitafute Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.