Silaha hizi...je nasi tumo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Silaha hizi...je nasi tumo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Sep 14, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Deep down tunajua kuwa vita dhidi ya Sadamu ilikuwa ni mafuta na kujitajirisha viongozi wa Marekani na makuwadi wao wa kibiashara kwa contract za milango ya nyuma kwa kampuni ya Diki Cheni.

  Sasa unaona hili ongezeko marudufu la Pentagon kuuza silaha, je kuwaita North Korea, Iran, Iraq na Syria Axis of Evil ilikuwa ni kunyakua mauzo ya silaha?

  Je katika mugawo huu wa Silaha, URT iko wapi? je visafari vya VDG vimetununulia tudege tungapi au tule tu RPG?

  Mkuu wa Utafiti Icadon na Mtakwimu Game Theory tusaidieni!

   
Loading...