Sikweli kuwa Cuf/Z’bar wanalilia kambi ya Upinzani ya Chadema na Wtanganyika wenzake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikweli kuwa Cuf/Z’bar wanalilia kambi ya Upinzani ya Chadema na Wtanganyika wenzake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Feb 5, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pein poit ya Wzanzibar ni kuvunja Muungano na kuwashia Tanganyika yenu na Bunge lenu lililo jaa ufisadi na ujambazi, hii ndio taget yetu Wzanzibar na sisi tunaipenda Zanzibar yetu na tunaona ufahari kujita mimi mzanzibar, hii ni fahari kubwa kwetu. Wenzetu wa Tanganyika ni aibu kujita mimi mtanganyika shame kwao?
   
 2. c

  chamajani JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Pamoja na kutojua uchungu wa kufeli ktk masomo, lkn pich ya hisia aliyeeli huwa kama ya huyu anayeabisha jina la............... http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1308.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1560.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1295.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1305.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1562.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1565.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1567.htm

  Then no wonder ukiambiwa huyu ni wel experienced mathematics+Physics+Chemistry teacher aliyepata uzoefu kwa kufundisha skuli zote hizi-Shame on her!
   
 3. c

  chamajani JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bora wee uliochanganikiwa na matokeo kama haya kuliko wenzako waliojitundika, maana kwao harufu ya firdaus ni ndoto!
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1308.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1560.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1295.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1305.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1562.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1565.htm
  http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s1567.htm

  No wonder ukiambiwa huyu ni wel experinced mathematics+Physics+Chemistry teacher aliyeupata kwa kufundisha skuli hizo hapo juu! Shame on her
   
 4. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  abdulahsaf, Duuuh Kauli kali na ya kebehi sana hii kutoka kwa MZANZIBAR, Mwl Nyerere hakuwajua kama mpo hivyo ndio maana hakaamua tuungane kwa gharama yoyote akidhani anawasaidia kumbe.............................. Leo mna maneno ya nyodo na dhihaki kwa wema wa Mwl hadi kuamua kuua Tanganyika yetu ili awastili na dhahama ya kurudi mikononi mwa Sultan. Kumbukeni sisi wana wa nchi tupo macho na tunaona mikogo yenu siku yaja mtakapoiona Tanganyika imerudi ktk ramani ya ulimwengu na Dunia ndipo mtakumbuka kuwa kwenu tulikuwa kama mama kuku nanyi vifaranga, mkiona baridi tunawapa joto, kipanga/mwewe akija twawaficha, Tanganyika ikifufuka kumbuka ni sawa na mama kuku TANZANIA kuchinjwa hivyo vifaranga watabaki bila ulinzi hapo MWEWE/KIPANGA na hata KUNGURU watajipatia riziki bila kikwazo.
  THREAD YAKO UIKUMBUSHIE WAKATI TUNAANDAA KATIBA YETU
  Lakini ushiriki wako hapa JF unanipa shaka, kama kweli kauli yako ni ya wema au umetumwa?
  Join Date : Tue Aug 2010
  Posts : 19
  Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
   
 5. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  angalia katika population ya wzanzibar millioni 1.2 wasomi ni wangapi? Na watanganyika million 44 wasomi ni wangapi? Watanganyika ni wingi wa nzii tu. Wengi wao vishwa maji. Wzanzibar ni kidogo lakini wengi wao wasomi. Wengi wa watanganyika ni vishwa maji na shizi umeona wapi dunia hii mtu mwenye akili yake kukata viungo vya binadamu mwenzake kwenda kuuza? Ama kweli vishwa maji ,makatili kweli.
   
 6. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na wanawauwa vizee eti ni vichawi, he sisi tupo karne ya 21 kumbe watanganyika wako karne ya nane. Ujahilia. Hakuna kifaranga hapa nani kakwambia kua kabla ya muungano wazanzibari walikufa njaa? Sisi tulikuwa tunawaletea bukta maana hata kuvaa hamjui washamba na walimbukeni. Leo munajichubua, wanawake wanavaa chupi hadharani kinyume na utamaduni wa africa. Huu ni ushamba na ulimbukeni. Mumevamia vibaya mambo.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hivi kwanini wananzibara huwa hawapati Div I ama II ? wachache III four za kumwaga na walio wengi hupiga Div zero!! Lol
   
 8. D

  Dopas JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nina mashaka kama abdulahsaf ni Mzanzibari kweli, nahisi ni mtu wa nchi jirani( tazama kwenye red), anayetaka kuleta mgongano kati ya watanzania. Hiki kiswahili sio cha zanzibar, ila pia inawezekana kama aliambulia div 0 form iv, na sasa labda jambazi, inawezekana.

  Kama kweli ni mzanzibar basi hatushangai kwanini matekeo ya F4 2010 ni division IV na 0 huko visiwani. Jibu analo yeye nani ni "kishwa" maji.
   
 9. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Huyu abdulahsaf hajui na hajui kuwa hajui, hivyo ni mpumbavu! Angalia kichwa cha habari yake na habari yenyewe havina uhusiano kabisa!!!!, sina uhakika kama si mwehu!
   
 10. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Huyu abdulahsaf hajui na hajui kuwa hajui, hivyo ni mpumbavu! Angalia kichwa cha habari yake na habari yenyewe havina uhusiano kabisa!!!!, sina uhakika kama si mwehu!
   
 11. c

  chamajani JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rev. Masanilo! Utarajie matokeo gani kama walimu wenyewe ni type ya huyu Abdulahsaf? Huyu jamaa anasahau hata heading na contents za post zake, watarajia amkumbushe mwanafunzi japo formula ya pythagoras? Certainly Record ya post za kipumbavu kabisa hapa jf nadhani imeshatwaliwa na huyu toka kwa ms
   
 12. c

  chamajani JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  Wazanzibar wanakelele kama za uke wenza ...sishngai ndio maana mwaka jana sharubu wameolewa rasmi ndoa ya kishoga.......sasa wanapalilia vipara vya ccm na wengine kupigwa vipara...si mnamuona maalim uso umekuwa laini na lotion ...furaha ya kuolewa hiyo...!!!

  Nyie mnaongelea mauwaji ya albino ..hakuna nchi isiyokuwa na vioja lakini msisahau kwenye mapnduzi waarab na shotara wengi waliuwawa......na hata baadhi ya chotara leo ni matokeo ya mama zao kubakwa wakati wa mapinduzi........yote hayo wamesahau kuokolewa na nyerere walivyokuwa wanachinjana ....baada ya ndoa ambayo haata haijajibu!!!!
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  JF hii ni lugha gani jamani.... hapo kwenye red au ndiyo akili za wazenji kama anavyosema abdulahsaf....
   
 15. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Absolutely right mkubwa!!.. Huyo wala si mzenji!!! Wazenji kiswahili si tatizo... achaneni nae huyo mbumbumbu....
   
 16. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haifai kujadiliwa hapa!! Pointless......

  Nani anawataka Wazanzibar na kwa faida gani? Nilipokuwa Chuo kikuu cha Dar... tulikuwa wanafunzi 2500 na kati yao wazanzibar walikuwa 50. Nilichukua Masters nje ya nchi kulikuwa na Watanzania 300 kati yao mzanzibar 1 ambaye alilalamika mbele ya Mh.Mkapa ili wapewe upendeleo wa scholarships hata kama wanafeli ili waweze kuona mandhari za nje ya nchi.... ilikuwa 2005 ubalozi tulipokutana na Mkapa.

  Je, hiyo ratio inaonesha ni upande upi unaelimu zaidi ya upande mwingine.
   
 17. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,160
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Si mrudi kwenyu mkale popo Nundu balahau! Mmesha kuwa mwiba tena kama hamjui mnatukera kiukweli. Mnakomba hata uji wa mtoto, tg kubaya huku mnauza nyanya masalo Nk nk!

  Mwenzio anapo kubeba usinyooshe miguu ikunje ili akubebe vizuri.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani muungano ni wa nguvu au hiari? Hivi ilikuwepo refferandum au la? Huyu ana maoni yake binafsi labda siyo ya Wazanzibari wote. Katiba mpya itahusisha referendum ya muungano. Na mkataba wa muungano upitiwe na waTanganyika na wa Zanzibari.

  Mkataba upo, hebu uwakeni hapa tuuchambue.
   
 19. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Originally Posted by Mtabe [​IMG]
  Na wanawauwa vizee eti ni vichawi, he sisi tupo karne ya 21 kumbe watanganyika wako karne ya nane. Ujahilia. Hakuna kifaranga hapa nani kakwambia kua kabla ya muungano wazanzibari walikufa njaa? Sisi tulikuwa tunawaletea bukta maana hata kuvaa hamjui washamba na walimbukeni. Leo munajichubua, wanawake wanavaa chupi hadharani kinyume na utamaduni wa africa. Huu ni ushamba na ulimbukeni. Mumevamia vibaya mambo.
  Wazanzibar wanakelele kama za uke wenza ...sishngai ndio maana mwaka jana sharubu wameolewa rasmi ndoa ya kishoga.......sasa wanapalilia vipara vya ccm na wengine kupigwa vipara...si mnamuona maalim uso umekuwa laini na lotion ...furaha ya kuolewa hiyo...!!!

  Nyie mnaongelea mauwaji ya albino ..hakuna nchi isiyokuwa na vioja lakini msisahau kwenye mapnduzi waarab na shotara wengi waliuwawa......na hata baadhi ya chotara leo ni matokeo ya mama zao kubakwa wakati wa mapinduzi........yote hayo wamesahau kuokolewa na nyerere walivyokuwa wanachinjana ....baada ya ndoa ambayo haata haijajibu!!!!

  Du kweli wazanzibar ndo mnafikia hatua ya kututukana hivi? au Adulasaf ni mzanzibar feki. Huku Bara tunao wapemba wengi wamejenga na kuoa kwa wingi je? na wao tuwafukuze? maana ikitokea fujo wanajiita watanzania, ikianza neema mm m-Unguja na wala sio m-Pemba hizi hadithi za PUNDA HAPANDI MASKAT mtaziacha lini?
  Hao watu wamejazana Kigoma Kondoa Bagamoyo na sehemu zote walikopita waarabu na kuchuka watumwa kuwapeleka Arabuni (hawajiiti tena Waha, Warangi au wakwere) ila wao ni waarabu/wapemba iko siku Sultani atakuja kuwachukua au kuleata neema. Nilipofika Unguja niliyakuta maajabu Mji wote kimya na watu wamepumzika vijiweni wakidai One day yes yaani tofauti na Miji ya bara km Dar, Arusha, Moshi, Dodoma wanawake kwa watoto wanavyochacharika licha ya wanaume kila kona kubeba mizigo au kusukuma mikokoteni.
  kama ni Muungano tuuvunje tu, na kisiwa chenu kisogezeni Oman au Bahrani tupumzike kwa amani
   
 20. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jamani huyu aliyeleta hii topic si mzanzibari. Huyu ni muhindi wa ilala au kariakoo.
  au ni mzanzibari mchina,mwarabu,muhindi au mngazija lakini anaishi huku Bara.
  Kwanza hawa wanachuki sana na chadema! yaani uwaambii kitu na ccm na cuf yao.
  Na jimbo la ilala litakuwa ni jimbo la mwisho kati ya majimbo yote Tanzania kukombolewa
  na wapinzani toka chama tawala. maana hizo mbegu zimetapakaa ilala mzima kuanzia
  Amana area hadi posta kuja upanga,na hadi kariakoo. kaaazi kwelikweli
   
Loading...