Sikuwahi kujua kuwa Shigongo si mmiliki wa Global Publishers

Sio yake lakini ana hisa za kutosha. Kwa mujibu wa TCRA, anamiliki 45% ya share! Kwa rika lake, na alipoanzia, kwangu mimi naona ni big success.
sasa hisa 45 jina la wasafi lake pia, inakuaje siyo yake. Hata leo hii toa wazo la biashara fulani lenye tija, watakuja washika dau wataweka mzigo maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom