Sikuwahi kujua kuwa Shigongo si mmiliki wa Global Publishers

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
72857622-5883-4E31-89CA-36B639F7DDD9.png


Kwenye documnets za TCRA inaonekana mmliki ni mtu anaitwa Joachim Lusana Buyobe ambapo ndio mmiliki wa Geita online TV.

Je, huyu mtu yupo kweli ama Shigongo ametumia jina tu kukwepa kuonekana kwake?
 
duhh ngoja niendelee kufatilia uzi huu maybe ntamjua mmiliki halali wa global publishers
 
F

Hilo ni tatizo la watu wenye IQ fupi kufikiria kila mtu ana hawara kama wewe ulivyo mzinzi na snitch
Ok mtu mwenye akili kubwaaaz le mbebezi fuatilia za baba ako basiii kama zipo
 
Back
Top Bottom