Si alikaribishwa maji na Bi Zakia akaambiwa atulize koo kwanza,Yeye anadai ccm hela ya kofia za uchaguzi 2015, ndio anachomiliki kwa sasa
Duh, nimecheka balaa. CCM MPYA ya Chakubanga huwa hailipi madeni hata yawe halali!Si alikaribishwa maji na Bi Zakia akaambiwa atulize koo kwanza,
Yale maji ndio malipo yenyewe mkuu, hadai tena kitu
Jimbo gani Mkuu??Ameahidiwa ubunge 2020
Na mafulanaYeye anadai ccm hela ya kofia za uchaguzi 2015, ndio anachomiliki kwa sasa
Labda watamfanyia manjiru kwenye kodi ya Dar liveSi alikaribishwa maji na Bi Zakia akaambiwa atulize koo kwanza,
Yale maji ndio malipo yenyewe mkuu, hadai tena kitu
AjaaliwayeAlishamalizana nao na kumuahidi kumpa nafasi ya kuwa mgombea 2020
Tazama kwanza hiyo sura ya chakubangaDuh, nimecheka balaa. CCM MPYA ya Chakubanga huwa hailipi madeni hata yawe halali!
Ujumbe wa kufungia weekendFuatilia za hawara wako basi wewe
Hilo ni tatizo la watu wenye IQ fupi kufikiria kila mtu ana hawara kama wewe ulivyo mzinzi na snitchFuatilia za hawara wako basi wewe