KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Aiseee, sijasoma huko chini. Nitaendelea.Mungu asijishughulishe na mambo yetu kama shule zetu, asijishughulishe na serikali na taifa letu, na mbaya zaidi asijishughulishe na maisha yetu. Sasa kwa kuwa Mungu wetu niwa hekima na msikivu, naamini kabisa ameamua kutuacha.
Hii inanikumbusha zile sala nyingi! Aaaah, sijui ni 'coincidence?
Ngoja niendelee.