Calfornia
Member
- Oct 26, 2019
- 49
- 127
Kuna jambo binafsi nimekuwa siliamini sana kama lipo, labda sababu kuona ni kuamini.
Kuna 'sista' wangu mmoja leo ame-share nami kitu kilichonishangaza kidogo, wenye ndoa wenzangu labda mnaweza fumbua macho pia.
Huyu 'sista' alimuattend dada mmoja, baadae akaombwa namba yake ya simu kwa kigezo kuwa akihitaji msaada zaidi atamconsult. Sababu ni mwanamke mwenzie hakuna shida, akampa.
Baadae yule dada akaanza kumtumia msgs, na akamtongoza kuwa anamtaka. Sasa akamuuliza, wewe si una mume. Mwanadada akafunguka ndie anae na watoto amezaa nae, ila huwa haridhishwi na mwanaume.
Kwakweli nimesoma ile conversation, nikajikuta nawaza mambo tofauti sana. Hivi kumbe yawezekana hata wife najikunja, kumbe kuna mwanamke ndie kidume wake? Je, kuna madhara gani mkeo akiwa na mishe hizi? Unaweza mgundua vipi?