Sikuwa na Bahati hii 1961 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikuwa na Bahati hii 1961

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kituko, Oct 31, 2010.

 1. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Mwaka 1961 wakati Tanzania inapata uhuru nilikuwa sijazaliwa, hivyo nilikuwa sijuhi nini maana ya kutafuta uhuru na transition ya kutoka utawala mmoja kwenda mwingine nilikuwa sijuhi ikoje,

  lakini leo nachelea kusema ninashuhudia nchi yangu ikikombolewa kwa mara ya pili, baada ya kutekwa na wabinafsi na Mafisadi, ningependa kuchukua nafasi hii kumpongeza kila Mtanzania aliyeshiriki vita hii iliyokuwa ikiongozwa na Jemedali Dr Slaa akisaidiwa na Zitto, Mbowe,Marando,Shibuda,Baregu,Ndesa, SEBODO, na wengineo

  Mungu ibariki Africa
  Mungu ibariki Tanzania Mpya
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi pia nilikuwa sijazaliwa sasa nafurahi mpaka machozi yananitoka! New generation
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona sasa nimeelewa nini maana ya uhuru
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tunashuhudia wengi mkuu
   
Loading...