Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
images (6).jpeg

Salaam Wakuu,

Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli?

Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.

Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, Mchezaji yeye, muendesha mashitaka yeye.

Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?

Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.

Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.

Tumuombee Rais wetu Samia Hassan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamka na akili mpya.

Hakukuwa na wakumfunga kengere mzee yule mwendazake
images (4).jpeg
images (5).jpeg
6fd7fd102386083f173a1d796daf19c4.jpg
 
Magufuli hakuwa mzuri kwenye urais, alipaswa kuwa chini ya mtu mwingine wa kumfunga breki

Fikiria jamaa alienda kumwaga baharini karibu zile korosho zote za Mtwara na Lindi mwaka 2019 kisa kudhani kila kitu ni ubabe, eti wanajeshi wakusanye korosho na kuzibangua kwa mabomu....
 
Salaam Wakuu,

Waliposema Chi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.

Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, muendesha mashitaka yeye. Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?

Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.

Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.

Tumuombee Rais wetu Samia Hasan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamia na akili mpya.

Hakuwa na wakumfunga kengere.
Ndo Raisi peke anae ongeza nchi bila pressure makundi au camps au purukushani yoyote, nina wakika atakua raisi bora baada ya Nyerere
 
Mtu asietii na kufuata sheria naona unampa sifa za kinafiki tu.

Kama Samia sio "one man army" kwanini alimuondoa Ndugai?

Kwanini anawakumbatia wakina Mdee bungeni na mahakamani?

Na wale DarMpya blog, kwanini TCRA wanawasumbua kwa kuripoti kwao habari ya wale wamasai fake waliokwenda kuigiza kuandamana nje ubalozi wa Kenya?

Unamsifia mtu aliyesema ukinipara nitakuparua?
 
Amezinyamazishaa...

Sijui zimenyamazishwaje....

Si

Lissu

Si Zitto... Si Mbowe si Lema.. Si Lipumba si Mzee wa Ubwabwa.

Si mitandaoni..si wapi. Yani mawhistle blower wote kimya.
Yani hadi Pascal Mayalla kimya..Si Peter Msigwa si nani.

Hawa watu wamefanyajwe!? Yani ni kweli Mama ni Perfectionist, amejibu dukuduku zote na kuituliza kiu.

Em ngoja tusubiri kwanza.
 
Kwanini umlinganishe na Magufuli na sio kikwete, Mkapa au Nyerere??
 
Kama huyu mama anaweza kuongoza nchi basi hii nchi haina sifa za kuiongoza, yoyote anaweza kuiongoza.

Wapiga debe mtapiga sana kwa sababu mna midomo mikubwa ila ukweli ni kwamba huyu mama ni sifuri.

Huhitaji elimu ta form six kuona kua hili taifa limepoteza dira chini ya huyu Mzanzibari.

Muda ni mwalimu mzuri, muda utasema tu ila ukweli ni kwamba hii nchi rais hakuna.
 
Kama huyu mama anaweza kuongoza nchi basi hii nchi haina sifa za kuiongoza, yoyote anaweza kuiongoza.

Wapiga debe mtapiga sana ila ukweli ni kwamba huyu mama ni sifuri. Huhitaji elimu ta form six kuona kua hili taifa limepoteza dira chini ya huyu Mzanzibari. Muda ni mwalimu mzuri, muda utasema tu.
Taratibu...
 
Mtu asietii na kufuata sheria naona unampa sifa za kinafiki tu.

Kama Samia sio "one man army" kwanini alimuondoa Ndugai?

Kwanini anawakumbatia wakina Mdee bungeni na mahakamani?

Na wale DarMpya blog, kwanini TCRA wanawasumbua kwa kuripoti kwao habari ya wale wamasai fake waliokwenda kuigiza kuandamana nje ubalozi wa Kenya?

Unamsifia mtu aliyesema ukinipara nitakuparua?
Ndugai si ali resign mwenyewe, au mimi ndio sina habari Mkuu?
 
Ndo Raisi peke anae ongeza nchi bila pressure makundi au camps au purukushani yoyote, nina wakika atakua raisi bora baada ya Nyerere
Kama hana pressure ya makundi kwanini akawaondoa kina Lukuvi na Ndugai kwenye serikali yake, na kuwajaza watoto wa marafiki zake, na yule waziri shemeji yake?

Mnamjaza sifa za uongo.
 
Salaam Wakuu,

Waliposema Chi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.

Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, muendesha mashitaka yeye. Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?

Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.

Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.

Tumuombee Rais wetu Samia Hasan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamia na akili mpya.

Hakuwa na wakumfunga kengere.
TANZANIA NI NCHI TAJIRI SANA TATIZO NI UONGOZI NA SIASA CHAFU
 
Hivi mnajua hizi stori za Magufuli tunazoziongelea hapa jukwaani mi nilijua ni sisi tuu au baadhi ya watu mtaani basi...

Mwezi March mwaka huu nilibahatika kwenda nyumbani kwa Waziri Fulani (Jina Linahifadhiwa) , mimi nilikuwa msindikizaji kwenye hafla flani ya kifamilia ya huyo Waziri...

Kitu kilinishangaza Baadae kwenye tafrija na story za hapa na pale huku tumechoka na tunajiandaa kuaga.. ni pale yule Waziri alipochomekea kiujanja kuhusu uongozi wa Magu kwa kusema.... " He was not fit enough for the big office in our country "

Nikiwa njiani tulijiuliza mengi... tukasema kumbe sio sisi tuu tunaomsema pekee... bali hata humo Serikalini watu wanaongea lugha moja...
 
Kama huyu mama anaweza kuongoza nchi basi hii nchi haina sifa za kuiongoza, yoyote anaweza kuiongoza.

Wapiga debe mtapiga sana ila ukweli ni kwamba huyu mama ni sifuri. Huhitaji elimu ta form six kuona kua hili taifa limepoteza dira chini ya huyu Mzanzibari. Muda ni mwalimu mzuri, muda utasema tu.
Kama jiwe aliweza kutawala hi nchi lijitu ambalo lilikua lishamba uncivilised sembuse Mama mwenye hofu ya Mungu na ustarabu tele
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom