tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Mi naamini yanayoitwa matusi, yanakuwa matusi pale tu unapoamin kwamba ni matusi.
Niuzie kesi.mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda

usiniambie inamaana hapa ni zaid yatuyaönayo kwa maandishi

Bebii naona wengi wanakupa tu pole. But mimi nakwambia huwezi kukaa hapa bila kutukanwa nikwambie niliwahi kutukanwa (Husninyo) shahidi maana naye yalimkuta lkn haondoki mtu hapa so kuwa ngangari bana kwanza ndo unampa kichwa anaona kakukomesha we dunda bana
Ni bebii kumbuka!! Bado mtoto. Ni wakati wake wa kudeka huu.Acha kudeka..
Ni bebii kumbuka!! Bado mtoto. Ni wakati wake wa kudeka huu.
Acha kudeka..
Pole mpendwa, yaani humu kuna watu wana akili. Bora wewe umetukanwa. Kuna wengine washatendwa. Jipe likizo siku mbili tatu hasira ziishe urudi.