Sikutegemea kama mdogo wangu Nape naye angelimia meno, wengi mjiandae

Wadau, amani iwe kwenu.

Ni nchi chache duniani zimebahatika kuwa na kiongozi mwenye maono na fikra ya muda mrefu juu ya nchi yake. Rais Magufuli ni mmoja wapo. Ameyastudy mazingira ya Tanzania na kuyafahamu vizuri. Anajua njia zinazotumika kuliibia taifa. Naukumbuka ule msemo wake kuwa akiwa Rais wa Tanzania, KUNA WATU WATALIMIA MENO.

Kinachoendelea sasa kwa nchi yetu ni watu kulimia meno badala ya majembe. Kawabana kila kona. Si wa CCM, si wa upinzani. Ametight ile mbaya ili wale waliokuwa wanaishi kijanja na kitapeli waweze kulimia meno. Ila sisi tunaoishi kwa Principle kwa hakika tunafurahia sana anavyofanya Rais wetu.

Naukumbuka pia msemo wake kuwa UKIONA WAPINZANI WANAKUSHANGILIA NA KUKUPIGIA MAKOFI, BASI RUDI NYUMA JIULIZE UMEKOSEA WAPI. NA UKIONA WABAYA WAKO WANAKUNUNIA NA KUKUTAKA UACHE JAMBO FULANI BASI NI VEMA UKAONGEZA JUHUDI KATIKA KLIFANYA JAMBO HILO.

UKAWA sasa wamehemewa. Wamebanwa kila kona na hawafurukuti tena. Rais anajua nini anakifanya. Kelele zao hazimzuii kufanya maamuzi kwa maslahi mapana ya Taifa. Kelele za wapinzani juu ya uhaba wa sukari na ukame zimewageuka wenyewe. Kwa sasa hayo si matatizo ya msingi ambayo wanaweza kuyatumia kuomba kura kwa Watanzania..

Nimalizie kwa kusema kuwa, Magufuli huyu wa sasa ni yule yule wa Wizara ya Ujenzi. Hajabadilika. Tusipobadilika Watanzania wengi tutajikuta tunalimia meno. Hakuna aliyetaraji kama na Nape naye angekuwa ni miongoni mwa walimia meno kwa jinsi alivyojidai eti yeye ni Kada kindakindaki.
Unashangaa nini wakati jukwa limejaa kauli kali dhidi ya Nape?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lizaboni always posting craps. Sasa kama mpo sahihi kwanini mlimzuia asimwage sumu, kuonyesha udhaifu wenu?
 
Thread yake ya leo ni unafiki.
Unashangaaje kutumbuliwa kwa uliyekuwa unamshtaki kila siku?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni nchi chache duniani zimebahatika kuwa na kiongozi mwenye maono na fikra ya muda mrefu juu ya nchi yake. Rais Magufuli ni mmoja wapo. Ameyastudy mazingira ya Tanzania na kuyafahamu vizuri. Anajua njia zinazotumika kuliibia taifa. Naukumbuka ule msemo wake kuwa akiwa Rais wa Tanzania, KUNA WATU WATALIMIA MENO.

Kinachoendelea sasa kwa nchi yetu ni watu kulimia meno badala ya majembe. Kawabana kila kona. Si wa CCM, si wa upinzani. Ametight ile mbaya ili wale waliokuwa wanaishi kijanja na kitapeli waweze kulimia meno. Ila sisi tunaoishi kwa Principle kwa hakika tunafurahia sana anavyofanya Rais wetu.

Naukumbuka pia msemo wake kuwa UKIONA WAPINZANI WANAKUSHANGILIA NA KUKUPIGIA MAKOFI, BASI RUDI NYUMA JIULIZE UMEKOSEA WAPI. NA UKIONA WABAYA WAKO WANAKUNUNIA NA KUKUTAKA UACHE JAMBO FULANI BASI NI VEMA UKAONGEZA JUHUDI KATIKA KLIFANYA JAMBO HILO.

UKAWA sasa wamehemewa. Wamebanwa kila kona na hawafurukuti tena. Rais anajua nini anakifanya. Kelele zao hazimzuii kufanya maamuzi kwa maslahi mapana ya Taifa. Kelele za wapinzani juu ya uhaba wa sukari na ukame zimewageuka wenyewe. Kwa sasa hayo si matatizo ya msingi ambayo wanaweza kuyatumia kuomba kura kwa Watanzania..

Nimalizie kwa kusema kuwa, Magufuli huyu wa sasa ni yule yule wa Wizara ya Ujenzi. Hajabadilika. Tusipobadilika Watanzania wengi tutajikuta tunalimia meno. Hakuna aliyetaraji kama na Nape naye angekuwa ni miongoni mwa walimia meno kwa jinsi alivyojidai eti yeye ni Kada kindakindaki.
Siyo lizaboni ninaemjua mimi...kuna mtu ame "HARCK" akaunti yake....!!
 
Mimi Nape aliniacha hoi pale aliposema eti ameipigania CCM tangu Baba yake na kuitoa shimoni, hapo ndipo nilipochoka, kama Nape anasema hivyo Watoto wa Sokoine waseme nini ambao Baba yao alikufa akiwa kazini kuipigania CCM? Huyu Nape amepotea sana na ameniboa sana!
Baba yao akiwa kazini kupigania CCM? Yaani alikua ktk kampeni? Au alikua ktk shughuli ya kufungua matawi? Au alikua ktk mikutano ya ndani ya CCM?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni nchi chache duniani zimebahatika kuwa na kiongozi mwenye maono na fikra ya muda mrefu juu ya nchi yake. Rais Magufuli ni mmoja wapo. Ameyastudy mazingira ya Tanzania na kuyafahamu vizuri. Anajua njia zinazotumika kuliibia taifa. Naukumbuka ule msemo wake kuwa akiwa Rais wa Tanzania, KUNA WATU WATALIMIA MENO.

Kinachoendelea sasa kwa nchi yetu ni watu kulimia meno badala ya majembe. Kawabana kila kona. Si wa CCM, si wa upinzani. Ametight ile mbaya ili wale waliokuwa wanaishi kijanja na kitapeli waweze kulimia meno. Ila sisi tunaoishi kwa Principle kwa hakika tunafurahia sana anavyofanya Rais wetu.

Naukumbuka pia msemo wake kuwa UKIONA WAPINZANI WANAKUSHANGILIA NA KUKUPIGIA MAKOFI, BASI RUDI NYUMA JIULIZE UMEKOSEA WAPI. NA UKIONA WABAYA WAKO WANAKUNUNIA NA KUKUTAKA UACHE JAMBO FULANI BASI NI VEMA UKAONGEZA JUHUDI KATIKA KLIFANYA JAMBO HILO.

UKAWA sasa wamehemewa. Wamebanwa kila kona na hawafurukuti tena. Rais anajua nini anakifanya. Kelele zao hazimzuii kufanya maamuzi kwa maslahi mapana ya Taifa. Kelele za wapinzani juu ya uhaba wa sukari na ukame zimewageuka wenyewe. Kwa sasa hayo si matatizo ya msingi ambayo wanaweza kuyatumia kuomba kura kwa Watanzania..

Nimalizie kwa kusema kuwa, Magufuli huyu wa sasa ni yule yule wa Wizara ya Ujenzi. Hajabadilika. Tusipobadilika Watanzania wengi tutajikuta tunalimia meno. Hakuna aliyetaraji kama na Nape naye angekuwa ni miongoni mwa walimia meno kwa jinsi alivyojidai eti yeye ni Kada kindakindaki.
Pointless! Mpika majungu mkuu na mnafiki upo kwenye ubora wa kiwango cha Lumumba bombadier.
 
Tunachoamini sisi na familia yangu wote ni kwamba rais magufuli anafanya vizuri Sana tena Sana
Hata ukoo wangu wote na kijiji kizima tunamuunga mkono Rais Magufuli....kwakweli Mungu amlinde na kumpa maisha marefu
 
Sasa nimemwelewa kipanya kwenye ile katuni yake ya nembo mpya ya chama dola. Kumbe lile jembe alipoliweka mapengo aliashiria mwanzo wa sera ya kulimia meno!
 
Mtoa mada umeukuna moyo wangu kwa kweli.
Kwa hakika huyu ni Rais ninayemkubali sana tena sana.
Kama atanisikia ningemwomba akaze uzi zaidi. Ahakikishe wale wenye kejeli na matusi anawaminya kisawa sawa.
Ninachofurahi zaidi ni kwamba fedha zinazopatikana kutokana na jasho la Watanzania zinatumika kwa ajili ya watanzania.
MIMI NAAMINI IPO SIKU TANZANIA ITAITWA NI NCHI ILIYOENDELEA.
Mungu mbariki Rais Magufuli pamoja na serikali yake. AMINA.
 
ok mkuu kwenye issue ya clouds labda unashauri nni nape angefanya kma waziri wa habari???
Serikali ni moja na mkuu wake ni rais ambaye pia ndiyo mkuu wa nchi yenye mihili mitatu kikatiba. Mawaziri ni wasaidizi wa karibu sana wa rais. Haiyamkini kila waziri akafanya kivyake vyake. Kila mtu anajuwa kuwa tangu RC Makonda aanzishe vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya amekuwa akizushiwa shutuma nyingi zenye lengo la kumuondoa kwenye nafasi hiyo na rais amekuwa akimulinda pamoja na kumpatia ulinzi wa nguvu ili asidhurike.

Nape na wengine walipaswa kulijua hilo. Na kinara anayetumiwa kumshambulia RC Makonda kila mtu anajua ni Askofu Gwajima. Hivyo Nape baada ya kupata taarifa hiyo kuhusu Makonda kuingia Clouds kuhusiana na clip ya hawara wa Gwajima alipaswa kujuwa kuwa suala hilo alihitaji kufanya consultation ya mkuu wake (rais). Yeye akaamua kulivalia njuga peke yake. Hii haikubaliki ki principle ya kiutawala mahali po pote na kwa taasisi yo yote duniani. The line of command must be followed. Huwezi ukawa na fahari wawili kwenye zizi moja. Kosa la Nape linatokana na kuwa yeye hana uzoefu wa kiutendaji wa serikali. Yeye amekulia kwenye utendaji wa kisiasa. Hivi ni vitu viwili tofauti. Siyo kila kitu ni siasa. Ukiteuliwa uwaziri unapaswa kulijua hili. Kuna tofauti ya waziri na katibu wa chama cha siasa.

Rais Magufuri anachoangalia ni performance ya mtu kwenye nafasi aliyopewa. Haangalii ukindandaki wake kwenye chama wala kitu kingine. Umeshindwa ku perform properly kwenye nafasi uliyopewa lazima utaondolewa, unaweza kupewa nafasi sehemu nyingine ambayo labda utaiweza. Ukifanya ufisadi au ubadhilifu wo wote unatumbuliwa na hatua zingine za kisheria zinachukuliwa dhidi yako. Nape hajafanya kosa lo lote isipokuwa tu amekuwa ana underperfom kwenye wadhifa wa uwaziri. Yeye amekuwa ni kuchukulia kila suala kisiasa. Ingalikuwa vizuri angebakia kwenye wadhifa wake wa ukatibu mwenezi wa ccm ambao alikuwa aki peprform excellently. Hivyo Lizaboni ulipaswa hili uwe umeritarajia. Rais hana urafiki kwenye hili la hapa kazi tu. Hata rafiki yake kindakindaki wa toka utotoni Mh Kitwanga alimuweka pembeni baada ya kumuona hakidhi hiyo principal ya Hapa Kazi Tu. Yeye akawa anaingia hata bungeni akiwa ameutwanga ali hali yeye ni waziri wa mambo nyeti ya usalama wa raia. Yeye ni kutwanga tu kinywaji 24/7/52 per annum.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni nchi chache duniani zimebahatika kuwa na kiongozi mwenye maono na fikra ya muda mrefu juu ya nchi yake. Rais Magufuli ni mmoja wapo. Ameyastudy mazingira ya Tanzania na kuyafahamu vizuri. Anajua njia zinazotumika kuliibia taifa. Naukumbuka ule msemo wake kuwa akiwa Rais wa Tanzania, KUNA WATU WATALIMIA MENO.

Kinachoendelea sasa kwa nchi yetu ni watu kulimia meno badala ya majembe. Kawabana kila kona. Si wa CCM, si wa upinzani. Ametight ile mbaya ili wale waliokuwa wanaishi kijanja na kitapeli waweze kulimia meno. Ila sisi tunaoishi kwa Principle kwa hakika tunafurahia sana anavyofanya Rais wetu.

Naukumbuka pia msemo wake kuwa UKIONA WAPINZANI WANAKUSHANGILIA NA KUKUPIGIA MAKOFI, BASI RUDI NYUMA JIULIZE UMEKOSEA WAPI. NA UKIONA WABAYA WAKO WANAKUNUNIA NA KUKUTAKA UACHE JAMBO FULANI BASI NI VEMA UKAONGEZA JUHUDI KATIKA KLIFANYA JAMBO HILO.

UKAWA sasa wamehemewa. Wamebanwa kila kona na hawafurukuti tena. Rais anajua nini anakifanya. Kelele zao hazimzuii kufanya maamuzi kwa maslahi mapana ya Taifa. Kelele za wapinzani juu ya uhaba wa sukari na ukame zimewageuka wenyewe. Kwa sasa hayo si matatizo ya msingi ambayo wanaweza kuyatumia kuomba kura kwa Watanzania..

Nimalizie kwa kusema kuwa, Magufuli huyu wa sasa ni yule yule wa Wizara ya Ujenzi. Hajabadilika. Tusipobadilika Watanzania wengi tutajikuta tunalimia meno. Hakuna aliyetaraji kama na Nape naye angekuwa ni miongoni mwa walimia meno kwa jinsi alivyojidai eti yeye ni Kada kindakindaki.

Mbona Bashite kashindwa kumtumbua?
 
Serikali ni moja na mkuu wake ni rais. Mawaziri ni wasaidizi wa karibu sana wa rais. Haiyamkini kila waziri akafanya kivyake vyake. Kila mtu anajuwa kuwa tangu RC Makonda aanzishe vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya amekuwa akizushiwa shutuma nyingi zenye lengo la kumuondoa kwenye nafasi hiyo na rais amekuwa akimulinda pamoja na kumpatia ulinzi wa nguvu ili asidhurike.

Nape na wengine walipaswa kulijua hilo. Na kinara anayetumiwa kumshambulia RC Makonda kila mtu anajua ni Askofu Gwajima. Hivyo Nape baada ya kupata taarifa hiyo kuhusu Makonda kuingia Clouds kuhusiana na clip yyahawara wa Gwajima alipaswa kujuwa kuwa suala hilo alihitaji kufanya consultation ya mkuu wake (rais). Yeye akaamua kulivalia njuga peke yake. Hii haikubaliki ki principle ya kiutawala mahali po pote na kwa taasisi yo yote duniani. The line of command must be followed. Huwezi ukawa na fahari wawili kwenye zizi moja. Kosa la Nape linatokana na kuwa yeye hana uzoefu wa kiutendaji wa serikali. Yeye amekulia kwenye utendaji wa kisiasa. Hivi ni vitu viwili tofauti. Siyo kila kitu ni siasa.
Hapo nimekuelewa mkuu. Nape ilitakiwa amsome kwanza mkuu wake, hata angejaribu kuwasiliana naye kwanza kabla ya kuchukua hatua yoyote.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni nchi chache duniani zimebahatika kuwa na kiongozi mwenye maono na fikra ya muda mrefu juu ya nchi yake. Rais Magufuli ni mmoja wapo. Ameyastudy mazingira ya Tanzania na kuyafahamu vizuri. Anajua njia zinazotumika kuliibia taifa. Naukumbuka ule msemo wake kuwa akiwa Rais wa Tanzania, KUNA WATU WATALIMIA MENO.

Kinachoendelea sasa kwa nchi yetu ni watu kulimia meno badala ya majembe. Kawabana kila kona. Si wa CCM, si wa upinzani. Ametight ile mbaya ili wale waliokuwa wanaishi kijanja na kitapeli waweze kulimia meno. Ila sisi tunaoishi kwa Principle kwa hakika tunafurahia sana anavyofanya Rais wetu.

Naukumbuka pia msemo wake kuwa UKIONA WAPINZANI WANAKUSHANGILIA NA KUKUPIGIA MAKOFI, BASI RUDI NYUMA JIULIZE UMEKOSEA WAPI. NA UKIONA WABAYA WAKO WANAKUNUNIA NA KUKUTAKA UACHE JAMBO FULANI BASI NI VEMA UKAONGEZA JUHUDI KATIKA KLIFANYA JAMBO HILO.

UKAWA sasa wamehemewa. Wamebanwa kila kona na hawafurukuti tena. Rais anajua nini anakifanya. Kelele zao hazimzuii kufanya maamuzi kwa maslahi mapana ya Taifa. Kelele za wapinzani juu ya uhaba wa sukari na ukame zimewageuka wenyewe. Kwa sasa hayo si matatizo ya msingi ambayo wanaweza kuyatumia kuomba kura kwa Watanzania..

Nimalizie kwa kusema kuwa, Magufuli huyu wa sasa ni yule yule wa Wizara ya Ujenzi. Hajabadilika. Tusipobadilika Watanzania wengi tutajikuta tunalimia meno. Hakuna aliyetaraji kama na Nape naye angekuwa ni miongoni mwa walimia meno kwa jinsi alivyojidai eti yeye ni Kada kindakindaki.
Naunga mkono hoja

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom