Sikutegemea kama ingetokea siku na mimi nijihisi nimeambukizwa UKIMWI...

Asante ni kweli nimenusurika kwa msaada wa Mungu wetu wa huruma.
Kwa kweli hayo namuachia yeye na Mungu wake mwaya,
kama alikusudia kuniambukiza kwa makusudi au la mimi sitaki kuchuma dhambi kwa kukisia,
mradi nimenusurika acha niendelee kuamini kuwa ni bahati mbaya japo mama yangu anasisitiza nikae mbali naye.
Mungu pekee ndiye anayejua ukweli Lizy 11

Usifikiri kwamba umenisurika.......,,upo hatarini kuliko unavyofikiri. Kwanza napata wasiwasi kwamba wewe ni mwathirika na unakuja kujinadi hapa kwamba wewe ni HIV negative ili upate wa kumwambukiza. Halafu eti uneweka slogan ya "YESU NAKUPENDA NITUMIE UPENDAVYO", hivyi ndivyo Yesu anavyokutumia, kuja kuleta unyanyapaa na kujiona wewe ni bora na kuthamini zaidi uhai wako, siku ukikutana na Yesu muulize yeye aliwezaje kuutoa uhai wake kwa ajili ya wengine.
 
Usifikiri kwamba umenisurika.......,,upo hatarini kuliko unavyofikiri. Kwanza napata wasiwasi kwamba wewe ni mwathirika na unakuja kujinadi hapa kwamba wewe ni HIV negative ili upate wa kumwambukiza. Halafu eti uneweka slogan ya "YESU NAKUPENDA NITUMIE UPENDAVYO", hivyi ndivyo Yesu anavyokutumia, kuja kuleta unyanyapaa na kujiona wewe ni bora na kuthamini zaidi uhai wako, siku ukikutana na Yesu muulize yeye aliwezaje kuutoa uhai wake kwa ajili ya wengine.

‎1 Endesha kesi yangu dhidi ya wapinzani wangu, Ee Yehova;
Upigane na wale wanaopigana nami.
..............Na usimame ili unisaidie.
...Wale wanaoipangia hila nipatwe na msiba na warudishwe nyuma na kufedheheka.
ZABURI 35:
 
‎1 Endesha kesi yangu dhidi ya wapinzani wangu, Ee Yehova;
Upigane na wale wanaopigana nami.
..............Na usimame ili unisaidie.
...Wale wanaoipangia hila nipatwe na msiba na warudishwe nyuma na kufedheheka.
ZABURI 35:

Hakuna anayepigana na wewe, bali kwa kuwa humfahamu adui yako uko hatarini sana; nakusikitikia kwani hujitambui.

"Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake; huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu. Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze. Nanyi mpingeni huyo, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani" 1 Petro 5:5-8

Kumbuka:

"Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi; kwa hiyo husema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu. Jidhilini mbele za Bwana, naye atawakuza. Ndugu, msisingiziane; amsingiziaye ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, huisingizia sheria na kuihukumu sheria. Lakini ukiihukumu sheria, huwi mtenda sheria, bali umekuwa hakimu. Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu, ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine? Haya basi, ninyi msemao, Leo au kesho tutaingia katika mji fulani na kukaa humo mwaka mzima, na kufanya biashara na kupata faida; walakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha hutoweka. Yakobo 4:5-13

Usijifiche kwenye kivuli cha UKRISTO kumbe ni mtenda dhambi......, tena kahaba tu.....!!!, Anayeongozwa na ROHO WA KWELI WA MUNGU hawezi kuandika upuuzi kama huu.
 
tatizo lako hujui jinsi ya kuwatega wanaume..........., uliweka picha ya mrembo ukifikiri utamnasa mtu hapa.....???, sasa eti unajinadi kwamba wewe ni negative...........humpati mtu hapa...!!!!

Jipange upya >>>>> queenkami
 
Habari hii ni UTAMBUZI halisi, ahsante kwa habari hii yenye kufundisha....................
 
Cantalisia una roho ya upendo sana.
Unawezaje kumfukuza mtu akiwa mgonjwa namna hiyo.
Unaambiwa mtenda wema hulipwa na Mungu na ndio maana pamoja na kuwa katika risk akakuepusha usiambukizwe.
Pole na wewe kupitia hali ya kujihisi,inatesa.
Nafurahi kusikia huyo mpendwa anaendelea vizuri.
Mama mkubwa wangu yeye bado anateseka kwa magonjwa nyemelezi sababu hataki hizo dawa.
Inaumiza kuona akiteseka wakati dawa zipo ila ndo huwezi kumlazimisha.

Kwa hiyo wewe unafurahi jinsi mama yako anavyoteseka, kama ungekuwa mwanadamu ungefanya kila aina ya jitihada kumshawishi mama yako kutumia hizo dawa au ungeleta uzi wa kutuuliza nini kifanyike ili mama yako aweze kukubali kutumia hizo dawa, eti unaleta unafiki wa kusema kwamba unaumia kwa kuona mama yako anateseka. Unapaswa kufanya jambo kwa mama yako, ikiwa ni ishara ya kumwomba msamaha kwa jinsi ulivyokuja kumnyanyapaa hapa hata kama unafikiri yeye hawezi kufahamu, vinginevyo UTAKUFA KABLA YAKE.
 
Habari hii ni UTAMBUZI halisi, ahsante kwa habari hii yenye kufundisha....................

Asante kwa kushukuru mkuu Mtambuzi.
Nimefurahi kuwa habari imekufundisha.
Hata mimi tokeo hili limesababisha nijifunze mambo mengi.
 
Last edited by a moderator:
Halafu ni kwanini wengine mnapenda kumdhalilisha Bwana Yesu......???? NAOMBA UONDOE HIYO SLOGANI YAKO, ETI "YESU NAKUPENDA NITUMIE UPENDAVYO", mpaka utakapokuwa tayari kutumiwa na Bwana YESU, kwa sasa unatumiwa na shetani.
 
Ndio mkuu Ninaweza ninakifahamu.
It stands for Post Exposure Prophylaxis(hope sijakosea spellings).
Ni matibabu ambayo mtu anaweza kuyapata masaa ishirini na nne baada ya kujihisi ameambukizwa na yasizidi masaa 72 ambayo ni sawa na siku tatu.
Dawa wanazotumia hapa ni anti-HIV drugs ila mkuu PEP sio guarantee ya kutopata UKIMWI.
Unaweza fanya PEP ambayo ni kutumia hizo dawa kwa kama wiki nne hivi na bado vijidudu vikangangania mwilini.
Hata hivyo naomba niseme ukweli,kipindi kile sikua najua kuwa kuna hii kitu,nilijua kirusi kikiingia kimeingia hakuna wakukitoa.
Ni vyema kwa kulifaham hilo, amini amini nakwambia siku zaja ambazo dawa za ukuimwi zitanunuliwa madukani kama tunavyo nua panado sasa hivi!
 
Asante kwa kushukuru mkuu Mtambuzi.
Nimefurahi kuwa habari imekufundisha.
Hata mimi tokeo hili limesababisha nijifunze mambo mengi.

MTAMBUZI ametambua, acha kujishaua hapa.........ninavyomfahamu MTAMBUZI hawezi ku-support huu upuuzi na ikiwa ana-support hili, itabidi aombe msamaha waathirika wote.
 
Ni vyema kwa kulifaham hilo, amini amini nakwambia siku zaja ambazo dawa za ukuimwi zitanunuliwa madukani kama tunavyo nua panado sasa hivi!

Mkuu Ninaweza ni kweli wanasayansi wako macho usiku na mchana kufanikisha hilo.
Mwanga umeanza kuonekana.
Kwa kweli dunia inahitaji hii tiba sasa.
Siku ikitangazwa imepatikana itakua ni siku ya furaha kwa kila mwanadamu aliyeathirika na asiye athirika.
Wote tunahitaji hizi dawa ziweze kuuzwa kama panadol maana kama nilivyohadithia mtu yeyote anaweza kupatwa na maambukizi katika mazingira hata yasiyodhaniwa.
EEH MUNGU TUSAIDIE TIBA IPATIKANE SASA.
 
Last edited by a moderator:
“BWANA, atawapigania ninyi na ninyi mtakuwa kimya katika amani”
Maneno haya ya Musa yanatupatia somo muhimu sana, Mungu huokoa.Ni wajibu wetu kuamini na kutii. Tunaona
jinsi Mungu alivyomwezesha Musa kuwa mkombozi; jinsi Mungu alivyowapatia wana wa Israeli njia ya wokovu,
wakati malaika wa mauti alipopita na tunaona jinsi Mungu alivyoifungua bahari ya Shamu ili kuwaokoa wana wa
Israeli na wakati huo kuwaangamiza wamisri
“Kwa imani wakapita kati ya bahari ya shamu kama katika nchi
kavu”
(Waebr 11:29)
Ujumbe wako ni mzuri nimeugongea na like tukufu, tatizo lipo kwenye avata yako isiyokuwa na upako
 
Ni vyema kwa kulifaham hilo, amini amini nakwambia siku zaja ambazo dawa za ukuimwi zitanunuliwa madukani kama tunavyo nua panado sasa hivi!

Kwanza mimi namshangaa kwa jinsi ambavyo anaelezea kuwa UKIMWI ndio hali hatarishi katika maisha ya mwanadamu, anasahau KISUKARI, magonjwa ya moyo na mengineo. Leo hii anahangaika na kuweka tahadhari ya kupata ukimwi anasahau kwamba kuna magonjwa yanayotokana ulaji mbovu. Unaogopa kufa............KANUMBA alikufa kwa UKIMWI?....mwisho wako unaweza kuwa wa mateso kuliko huyo mama yako.
 
Mkuu Ninaweza ni kweli wanasayansi wako macho usiku na mchana kufanikisha hilo.
Mwanga umeanza kuonekana.
Kwa kweli dunia inahitaji hii tiba sasa.
Siku ikitangazwa imepatikana itakua ni siku ya furaha kwa kila mwanadamu aliyeathirika na asiye athirika.
Wote tunahitaji hizi dawa ziweze kuuzwa kama panadol maana kama nilivyohadithia mtu yeyote anaweza kupatwa na maambukizi katika mazingira hata yasiyodhaniwa.
EEH MUNGU TUSAIDIE TIBA IPATIKANE SASA.

Acha Unafiki....!!!, ungekuwa unafahamu haya usingeleta uzi huu wa kumnyanyapaa mama yako; inaonekana habari hizi za kupatikana kwa dawa kwako ni chukizo kwani ulitamani mama yako ateseke mpaka afe, ili iwe malipizo kwa hisia zako kwamba alitaka kukuambukiza UKIMWI. Mungu hawezi kuwa upande wako, maana yeye haambatani na watu wanaojikweza.
 
Neema ya MUNGU ndiyo inakufanya utapike haya:

"Kwa kawaida mimi ni mtu mwenye kinga imara,ni kwa miaka mingi sijawahi kuumwa kitu chochote zaidi ya mafua,tena hata mafua yenyewe sio mara kwa mara.Kama baada ya mwezi na nusu hivi tokea nilipokatwa na kucha nikapata mafua makali yaliyoambatana na homa kali na maumivu ya kichwa,nikaanza tena kukumbuka lile tukio,nikaanza kuhisi labda nimeshaathirika,wakati mwingine najipa moyo kuwa ni mafua ya kawaida maana hata kama kuathirika inaweza kuchukua hata miaka mingi bila kuona dalili."

Unasahau kwamba uzima ulionao hautokani na jitihada zao bali una uwezo wa MUngu aliyehai na unapaswa kumshukuru na kuendelea kujinyenyekeza chini ya mkono ulio hodari.
 
Sasa nimeamini vile uwazavyo ndivyo utavyokuwa...

Uko sahihi mkuu wangu Dr.kapama.
Kuna research fulani ilifanyika ikathibitisha kuwa uki u-tune ubongo wako kuamini kuwa siumwi basi unatuma kemikali zinazoboost kinga ya mwili na hata kama mtu unaumwa unaweza kupata nafuu a kupona and vice versa.
Kwenye hiyo research walichukua wagonjwa waliokuwa wakumwa ugonjwa wa aina moja,then wakawagawa katika makundi mawili.Halafu kundi A wakapewa dawa za kweli za kutibu ule ugonjwa na kundi B wakapewa sukari ilitengenezwa na kufanana kabisa na vile vidonge vya kweli.
Matokeao yake yalikuwa kwamba,wagonjwa wote wa kundi A na B walipona.
Kumbuka wale wa kundi B hawakupewa dawa bali sukari lakini kwa vile walishauamrisha ubongo kuwaza positively kwa kuamini kuwa nimekunywa dawa nitapona wakapona kweli.
Ndio maana mimi niliumwa vitu vya ajabu ajabu wakati ule nilipoulazimisha ubongo wangu kuwa ninaumwa na wenyewe ukanisuport katika hilo.
 
Last edited by a moderator:
Douuh polesana queen mana halihyo huwa inasababisha wakati mgum sana, ambae hajapitia hawezijua,mimi imenitokea my wife anamdogowake anasomea ukunga skiumoja kaja na vipimo home wakapimana huko bila kuniambia kipimo chakwanza kikaonyesha anamaambukizi chapili kazalika chatatu vilevile ikabidi wakichukuwe kwa daktari akakitizama akmwambia anamaambukizi karudi huko kawaka moto kaniita chumbani analia namuliza nini akanijibu nimemuuwa na ukimwi ikabidi nicheke nikamuliza kulikoni akatoa vipimo akanionyesha nikamjibu mm simtalam siwezijua kuvisoma akajibu kapeleka kwa daktari nikamuliza wewe una toka nje ya ndoa kasema laa sasa itakuwa tumepataje mimi najiamini na sina sifanyi usherat na sijawahi kugua nawala sijawahi kuhudumia mtu kusema ntapata maambukizo kirahisi na ikabidi tukapime AMRF pale mganga akshangzwa na hali aliyonayo mwen zangu na aliomba tupime na mtoto akasema hawezi kumpima mtoto mwenye miezi7 mpaka aone vipimo vyetu ndipo alipouliza kulikoni nikamfahamisha ilivyotokea, mganga ilibidi achukuwe vipimo vitatu kupata uhakika badae ikaonekana hatuna maambukizi kuanzia hapo hatujaugua tena mpaka hiileo lakini kabla yake kilasiku kuumwa QUOTE=queenkami;3931366]Hello Wapendwa.

Kuna mahala fulani huwa ninasafiri kwenda mara kwa mara kufuatilia mambo ya kibiashara.Huko mahala ninaposafiri huwa kuna mama yangu mkubwa anaishi huko lakini siku zote huwa nashukia hotelini.Kila nikifika huwa nampigia simu mama mkubwa na pia najitahidi kwenda nyumbani kwake kumsalimia lakini mama mkubwa analalamika kuwa ni vizuri siku nikiwa huko japo siku moja moja nilale nyumbani kwake.

Mama yangu mkubwa nimuathirika wa UKIMWI,sio kwa kumuhisi bali kwa kinywa chake alimweleza mama yangu,pia hataki kutumia hizi dawa za kurefusha maisha hivyo amekonda sana na ana mapele na vidonda na majipu vinamtokea kila mara.

Siku moja nikiwa huko nikaamua kwenda kulala nyumbani kwa mama mkubwa wangu japo ana chumba kimoja,nilipofika nikakuta kidole chake kimoja cha mkononi kimeoza kwa kidonda chenye usaha,mwenyewe akanambia eti kuna mdudu akiingia kwenye kucha kidole ndo kinakua hivyo.

Tulikula kisha tukapiga story hadi usiku mwingi kisha sababu alikua ana magodoro mawili nikamwomba anitandikie godoro mim nilale chini.

Wakati anatandika shuka kwenye hilo godoro kwa bahati mbaya kile kidole chake chenye kidonda kikanichoma mguuni hadi pakakatika hadi damu ikanitoka halafu ule usaha wake ukabakia juu ya hapo aliponikata na kucha yake.Niliogopa sana,cha ajabu yeye hata hakuonesha mshituko,ila mimi niliogopa hadi sikuweza hata kupata usingizi.Kesho yangu nikarudi hotelini kwangu nikiwa na mawazo ya kuwa labda virusi vimenipata.Nilimaliza shughuli zangu huko nikasafiri kurudi nilipotoka lakini wiki mbili tokea aliponikata na kucha nilikuwa na mawazo sana lakini baadae nikasahau.

Kwa kawaida mimi ni mtu mwenye kinga imara,ni kwa miaka mingi sijawahi kuumwa kitu chochote zaidi ya mafua,tena hata mafua yenyewe sio mara kwa mara.Kama baada ya mwezi na nusu hivi tokea nilipokatwa na kucha nikapata mafua makali yaliyoambatana na homa kali na maumivu ya kichwa,nikaanza tena kukumbuka lile tukio,nikaanza kuhisi labda nimeshaathirika,wakati mwingine najipa moyo kuwa ni mafua ya kawaida maana hata kama kuathirika inaweza kuchukua hata miaka mingi bila kuona dalili.

Miezi michache baadae nikasafiri kwenda Ulaya,wiki moja tu tokea nifike nikaanza kupiga chafya mfululizo halafu pua ilikua inawasha ajabu hadi ikawa nyekundu na jicho moja likawa linatoa machozi hasa nikiwa nje natembea,mawazo tena ya kukatwa na kucha yakarudi kwa kasi,safari hii nikawa sina uhakika kabisa kuwa mimi ni muathirika au la maana tokea nizaliwe sijawahi kupatwa na hali kama hii,baada ya kupiga chafya kila dakika kwa wiki nzima mfululizo nikaamua kwenda hospitali,nikaambiwa nina allergy ya polen,daktari akasema kwa vile kilikua kipindi cha summer hewa imechafuka kwa polen inayotokana na maua yaliyopo kila mahala,ila nikashangaa maana home kwangu nina maua ya kila aina na sijawahi kupata hiyo hali,rohoni nikazidi kuogopa kuwa huenda nimeathirika kwa kukatwa na kucha.

Siku nyingine tena ghafla nikaanza kuwashwa na kuvimba mwili,yaani bila kujua sababu nilikuwa nawashwa kuanzia utosini hadi kwenye unyayo halafu nikiamka ngozi imevimba na kuwa nyekundu,kwenda hospitali nikambiwa eti kuna matunda nilikula ambayo nina allergy nayo,kweli kuna vitunda fulani nilikula,lakini nilizidi kuogopa kuwa haya mauza uza labda yanatokana na kukatwa na lile kucha.

Siku nyingine tena nikala viazi na samaki halafu usiku nikaamka tumbo likawa linaniuma sana kisha nikaanza kuendesha,kila dakila nikawa naenda chooni kwa siku mbili kisha likapoa.

Nikaona kukata mzizi wa fitina acha nikapime,kabla ya kukatwa na kucha nilikua nina uhakika kuwa sina ukimwi,niliamini kama mtu hujawahi kusex,wala kuongezewa damu,sindano nilichomwa nikiwa mtoto,wala sishirikiani na mtu vitu vya kukata hivyo chance ya kuwa na UKIMWI ni ndogo.

Kabla ya kwenda kupima nilisali nikamuomba Mungu kuwa kama kuna kirusi chochote kilichojipenyeza mwilini mwangu siku ile nilipokatwa na kucha la muathirika kife kwa jina lake lenye nguvu kupita majina yote.
Majibu yangu yakaja kuwa mim sio muathirika.

Nilichojifunza ni kuwa ukiruhusu ubongo wako uamini unaumwa kweli utakuletea vimagonjwa vya ajabu ajabu kusuport imani yako maana kipindi nilichokua naogopa nilipatwa hadi na vichomi ila nilipoambiwa sina UKIMWI hata sikujua vilipotelea wapi.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom