Sikutegemea kama ingetokea siku na mimi nijihisi nimeambukizwa UKIMWI...

Duh qeen umenikumbusha riwaya moja hivi niliwahi ipitia ikiitwa the secret,..ujumbe wake mkubwa ulikuwa ni
"Your wish is my command" ikiwa ni mawasiliano kati ya nafsi zetu na almighty...by mentioning hivyo virusi kila mara mawazoni mwako nafsi yako inafanya hali hiyo iwe as a wish from you(by keep saying nitakuwa nimepata vizusi), then something from above the nature inacommand iwe kama nafsi itakavyo
 
mungu ni mwema always...tuzidi tu kuombeana bado safari ndefu my dear
safari ni ndefu na magonjwa yapo mengi yenye kutisha ila ukimwi umechukua chati kwa kuogopesha jamani,hii kitu ni hatari.

yaani Smile nilipopata jibu la Dr ilibidi kwanza nimwambie na baba watoto hali halisi
Ila ndo maana nasema kweli mungu ashukuliwe siku zote

Hapo kuambukizwa ilikua nje nje hivyo kupata majibu mazuri mtu unaona kama Mungu kakupendelea kumbe ni kwa vile yeye ni mwema kwetu.Im so happy for you my dear,i know how it feels.
Queenkami, hili ni somo zuri sana kwa jamii! ila rudia kupima kila miezi mitatu, ili kuwa na uhakika.
Bana @Visent mi sirudii tena maana kwanza nilipima ikiwa zaidi ya miezi mitatu ishapita,naamini kuwa Yesu kanipigania.
Hivi wanapimia wapi?

Siwezi pima labda niko kwenye machela, na huu u-stiker wa Drogba?

Pimeni tu nyie lol

kupima si mchezo,yataka moyo hivyo nakuelewa.
Ungeniona wakati nasubiria majibu kwa dokta ndo ungeelewa.
UKIMWI unatisha jamani
 
IMANI ni kitu muhimu sana kwenye maisha yetu. Ni imani ndio inaponyesha watu na vile vile imani ndio inaweza hata ikakuua kama alivyosema mtoa mada hapo juu.
 
Duh qeen umenikumbusha riwaya moja hivi niliwahi ipitia ikiitwa the secret,..ujumbe wake mkubwa ulikuwa ni
"Your wish is my command" ikiwa ni mawasiliano kati ya nafsi zetu na almighty...by mentioning hivyo virusi kila mara mawazoni mwako nafsi yako inafanya hali hiyo iwe as a wish from you(by keep saying nitakuwa nimepata vizusi), then something from above the nature inacommand iwe kama nafsi itakavyo

Naweza kukubaliana nawe mkuu luvcyna.
Kwanza kabisa shetani alifanikiwa kunitia hofu wakati mimi naamini Yesu anaweza lakini kitendo cha mimi kuingiwa hofu ni kama vile imani yangu iliyumba.
Ni kweli unachosema maana wakati nasema labda nimeambukizwa nilikua nahisi tofauti mwilini mwangu,nilihisi kuwa ni mgonjwa,wakati mwili wangu haujazoea kuugua ugua ovyo na baada ya majibu nimekua normal sisikii tena hizo hali za ajabu ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wanapimia wapi?

Siwezi pima labda niko kwenye machela, na huu u-stiker wa Drogba?

Pimeni tu nyie lol
mimi nilipima na aliekuwa mpenzi wangu kwa kulazimishwa sana..even tho alinitosa ila huwa naona aliniokoa kwa mengi ....
 
Ngozi yako ni laini kuliko ya mtoto mchanga. Yaani kucha inamuuma na ina usaha, akakukandamiza hadi ukachanika ngozi na kufikia kukutoa damu? Ukipata mwenza inabidi uhakikishe unamfanyia manicure mwenyewe kama sehemu ya maandalizi ya wikiend.

Somo zuri, pole sana kwa hofu hizi. Ngoja na mie nikapime manake sijapima kama mwaka sasa! Usimnyanyapae mama mkubwa, anahitaji upendo wenu.
 
Bado unatakiwa ukapime sio sehemu moja tu, kuna vipimo vingine sio vya kuviamini sana.
 
duuuh! pole sana na Hongera kwa kuamua kupima,
nami naomba MUNGU anipe ujasiri siku moja nikapime nijue afya yangu.
 
king´asti hapo pekundu panaonesha kabisa kuwa hujaamini nilichosema.
ngozi yangu ni ya kawaida tu mpendwa wangu ila ukweli ndio huo,tena paliweka hadi kidonda kilichochukua siku kadhaa kupona.
Mim nampenda mama mkubwa wangu,siwezi kumnyanyapaa yeye wala mtu yeyote hasa sasa hivi baada ya kupitia haya.
Asante kwa pole.
 
Last edited by a moderator:
Bado unatakiwa ukapime sio sehemu moja tu, kuna vipimo vingine sio vya kuviamini sana.
fazaa acha kunitisha bana,kwanza mie nilipimia kwenye hospitali yenye teknolojia zote za kisasa,nawaamini,pia damu ya Yesu imetenda kazi.
Sina hofu tena.
 
Last edited by a moderator:
next time anyone being exposed wahini clinic yoyote ya ukimwi within the first 24 hours ili upate pep

msiweke mambo kama haya moyoni
 
duuuh! pole sana na Hongera kwa kuamua kupima,
nami naomba MUNGU anipe ujasiri siku moja nikapime nijue afya yangu.

Asante Zabibu.
Uijitahidi ukapima utaona jinsi utakavyotua mzigo,hata kama mtu utagundulika umeathirika bado tumaini lipo.
 
Last edited by a moderator:
Bado unatakiwa ukapime sio sehemu moja tu, kuna vipimo vingine sio vya kuviamini sana.
@fazaa unapenda kucritisize kila kitu ...huwa unajiona upo salama saaana na umebarikiwa kuliko watu wote kwenye mapenzi..gud for u
but kumbuka mapenzi ni watu wawili na kila mtu ana moyo wake pia ni ngumu kuujua moyo wa mtu
hata sisi tulioumizwa tulikuwa na maconfidence kama wewe,hatujaumizwa na strangers !tumeumizwa na tuliowapenda na kuwaamini..tuliokuwa tumewaweka kwenye mioyo yetu...sikuombei mabaya but sipendi the way unavopondaponda vitu humu.....love u
 
duuuh! pole sana na Hongera kwa kuamua kupima,
nami naomba MUNGU anipe ujasiri siku moja nikapime nijue afya yangu.
kweli inahitajika ujasiri my dear sio rahisi hata kidogo ...but nakuombea kwa mungu upime... utaokoa mambo mengi...fear ni kitu kibaya sana
 
Jf wanyanyapa ni wengi sana!sijaona comment yoyote inaotia moyo wa athrika wa ukimwi nyienyie ndio wataalam wa jukwaa la MMU.takwimwi za mzumbe last year kati ya madent 3000 na ushee wanafunzi zaid ya 200 wameshapigwa danger.
 
Pole kwa hali uliyopitia na hongera kwa kupima..it feels so good to know your health status..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom