Sikutarajia mpaka muda huu kuwa Simbachawene atakuwa bado ni Waziri wa Mambo ya Ndani

Waziriyupo sahihi 100%
Mwanafalsafa wa Uyunani aliyeishi miaka ya 320BC aitwaye PILATO aliiona na kuigawanya JAMII katika Makundi makuu 3

1.#Golden Class=KINGS

2.SILVER Class=Technocrats

3. IRON BOYS=Polisi/Military personnel.

Mgawanyo huu unatokana na jukumu la kila mmoja, Kundi la kwanza la Watawala na wafalme ni watu wenye akili,maarifa yanayowapatia busara, hivyo ndio wanapaswa kuwa viongozi wa kusimamia MAADILI na utekelezaji wa sheria. Hata kwa Jamii za Kiafrica, Machiefs ndio walikuwa watawala na husimamia maadili ya Jamii. Hawa mara nyingi walikuwa wanasoma falsafa, sheria, uchumi na theologia

Kundi la Pili ni Silver class ambao hawa ni wataalam walioandaliwa kufanya Kazi pamoja na wafalme, hawa ni watu kama MaDR, Walimu, Manesi,Wahandisi, wahasibu, nk. Kazi huwa ni kuutekeleza maagizo/maamuzi ya kundi tawala kwa weledi na utaalaam mkubwa. Hawa husomeshwa kwa kodi za wananchi, hulipwa mishahara mikubwa kuliko daraja chini yao..hawa ndio huendesha Nchi.

IRON Class=ufupi hawa ni walinzi wa nyumbani na walinzi wa mipakani au kuwalinda wahalifu. Hawa jamaa hutumia nguvu sana kuliko akili, ajira zao ni za mikataba na huachia ngazi wakiwa na miaka 47 hadi 50/55 kama hawana cheo kikubwa. Kama kawaida,mlinzi hata akinenepa, kamwe hamzidi mwenye nyumba. IGP akikutana na DC wa Temeke anabana matako na kupiga salute-apende asipende. Kitaalam walinzi are very mechanical, akili kidogo nguvu nyingi tofauti na Silver ambao ni nguvu kidogo akili kubwa.

Waziri is very right na kama unabisha tafuta watoto wa wakubwa kama wabunge. mameneja,wakurugenzi ambaye ni Polisi/magereza/zimamoto.

Philosopher-kings/Guardians[edit]

Plato's ideal rulers are philosopher-kings. Not only are they the most wise, but they are also virtuous and selfless. To combat corruption, Plato's Socrates suggests that the rulers would live simply and communally. Contrary to societal values at the time, Socrates suggests that sex should not be a factor in deciding who should rule, so women as well as men can rule. Socrates proposes that the Guardians should mate and reproduce, and that the children will be raised communally rather than by their biological parents. The children's biological parents will never be known to them, so that no Guardian will prefer his or her own offspring over the common good. The children of the guardian class will be tested, and only the most wise and virtuous will become rulers.
 
Hivi kwanini Watanzania hatuwapendi Viongozi wakweli? Msimamo wa Waziri unaakisi ukilaza wa Polisi wengi. Std seven na form four division ya 26pts
 
Jana baada ya kusikia kauli za waziri simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda,

nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya,

waziri simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana,

angekua na busara hata kama ni kweli polisi wanachukua watu waliofeli hakupaswa kuongea hadharani, mtu mwenye akili hupima kwanza maneno kabla hajayazungumza,

Polisi hawa wanafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha usalama, Polisi wanalala nje na wameyaweka maisha yao rehani kwaajili ya Raia,

halafu kizembezembe tu waziri unatoa kauli kama ile? uliipima ile kauli kwamba Polisi wetu wataipokeaje?

umezingua sana waziri, Rais alisema ukizingua utazinguliwa, Sitarajii kama utaendelea tena iyo nafasi

maoni yangu naonba tu upumzike
JOURNALIST MISQUOTE HER
-SHIDA UMAKINI KATIKA KUMUELEWA INFACT WAANDISHI WALISHINDWA KUMUELEWA.
 
Kwani kasema uongo? wabongo acheni unafiki alicho ongea waziri ndo ukweli askari police ni 4m 4 walio feli hata Kama inaumiza lakini ndo ukweli wenyewe ( naked truth)
 
Jana baada ya kusikia kauli za waziri simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda,

nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya,

waziri simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana,

angekua na busara hata kama ni kweli polisi wanachukua watu waliofeli hakupaswa kuongea hadharani, mtu mwenye akili hupima kwanza maneno kabla hajayazungumza,

Polisi hawa wanafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha usalama, Polisi wanalala nje na wameyaweka maisha yao rehani kwaajili ya Raia,

halafu kizembezembe tu waziri unatoa kauli kama ile? uliipima ile kauli kwamba Polisi wetu wataipokeaje?

umezingua sana waziri, Rais alisema ukizingua utazinguliwa, Sitarajii kama utaendelea tena iyo nafasi

maoni yangu naonba tu upumzike
Mkuu, wewe ni polisi?

Ninakubaliana nawe kwamba waziri hana staha. Haya siyo mambo ya kusemea kwenye kadamnasi ya watu. Tena unawasimanga watu ambao wewe ndiye kiongozi wao?
Inasikitisha.

Baada ya kusema hayo, baadhi ya matendo yenu mnayowafanyia wananchi wa nchi hii yanafanya wananchi wengi wasione ubaya wa aliyoyasema waziri.
Hebu wewe fikiria, kuna watu (waTanzania) waliolichukulia lile tukio la Hamza pale barabarani kwa njia za ajabu sana, bila shaka nyinyi kama polisi mmepata muda wa kujitafakari kwa nini iwe hivyo.
Hao akina Sirro wanapowahimiza kuvunja miguu ya waTanzania, mbona hukusikika hata mara moja ukiyakana na kuyalaani maneno ya namna ile!
 
Labada iwe hivi, Jeshi la Polisi halifanyi majukumu yake kwa kitu kiitwacho morali. Kwa vile hakipo hakita athiri utendaji wake wa siku kwa siku.
 
Hao manjagu ni.vilaza kweli ndiyo maana wanatumika kiboya kuisaidia CCM kuiba kura
 
Jana baada ya kusikia kauli za waziri simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda,

nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya,

waziri simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana,

angekua na busara hata kama ni kweli polisi wanachukua watu waliofeli hakupaswa kuongea hadharani, mtu mwenye akili hupima kwanza maneno kabla hajayazungumza,

Polisi hawa wanafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha usalama, Polisi wanalala nje na wameyaweka maisha yao rehani kwaajili ya Raia,

halafu kizembezembe tu waziri unatoa kauli kama ile? uliipima ile kauli kwamba Polisi wetu wataipokeaje?

umezingua sana waziri, Rais alisema ukizingua utazinguliwa, Sitarajii kama utaendelea tena iyo nafasi

maoni yangu naonba tu upumzike
Ni nani walihusika na mauwaji ya Lissu?
 
Elimu ya mtu,hupimwa kwa matendo yake.Bila shaka yeyote Waziri ni msomi na alishaona yanayofanywa na mapolisi wetu.Mambo mengine ni ya kipuuzi mno.Naona hata yeye yamemchosha.Ni kweli kabisa, mahusiano ya polisi na wananchi sio mazuri.

Hii ni kutokana na wananchi kutotendewa haki na polisi.Zamani watu walikuwa wanaogopa kwenda mahakamani wakikamatwa na polisi.Siku hizi imekuwa kinyume.Wanapokamatwa wanasema twende mahakamani.Wanapokwenda mahakamani ndipo hapo mziki mkubwa unaanzia.Ukweli unapowekwa wazi, wanaonekana hawakutenda haki wanaendelea kudharauliwa.Hivyo ni vizuri ili heshima iwepo,polisi watende haki kwa raia, na raia watawaheshimu.
 
Sasa form 4 failure unategemea ataijulia wapi PGO no wonder wanaongoza kwa kutofuata sheria
 
Huyo waziri yeye background ya elimu yake ikoje?? Na je mtu mwenye division 4-26pts hawezi kujiendeleza na kufikia kiwango chochote Cha elimu?? Majibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom