Sikutaki, Mdomo wako na kwapa vinatoa harufu nisiyoipenda, cha mwisho napenda mwanaume mrefu

Hicho kibuti kiliniumiza vibaya mnoo na kina ukweli kwa asilimia mia, kwapa huwa natumia sana deodorants za aina mbali mbali lakini wapi zinazidiwaa hadi nachoka nkakubali hali na demu mzuri hatari, ingawa mimi siyo mfupi kwake tunalingana tu. Na mbaya zaidi vyumba vyetu vinapakana yani vinatenganishwa na ukuta tu, alipo niijibu hivyo sikuonesha kupanik..... nilimwambia katika kitu ninacho kipenda zaidi duniani ni mwanamke mwenye uwezo wa kuniambia ule ukweli mchungu nikatembea zangu, naona hakutegemea jibu nililompa. Nikaanza kuleta madem geto napiga mashine hatari na anasikia kelele za wenzie ninavyo wanyoosha maana juu hamna singbod, kwaninavyo muona ni kama anajutia kwa alichonijibu kuna time tukiwa nje ananiangalia sana anatamani niongee kitu lakini sina muda huo....kibuti alichonipa kilinipa macomfidence zaidi ya kutongoza mademu wengine, nikamvaa demu mmoja hivi anaitwa Naomi ila hapa mtaani tunamwita Jordin Spark, na washkaji wengi tu wanamgwaya huyu manzi maana ni mrefu kinoma na hata kimwonekano wanafanana sana na jordin spark....demu akanikubalia basi nikawa naingia nae geto huku alienikataa anaona naingia na mtoto mkali naomi nakula mzigo vyakutosha....Sasa jana mida ya saa kumi na moja jioni kajilengesha mwenyewe kaja kuazima chaja wakati hajawahi kuazima chaja kwangu, alikua kasimama mlangoni kwa nje, wakati nampatia tuliangaliana machoni nikajua tu huyu demu ananielewa....nikanvutia ndani nikabana mlango nikaanza kumla mate sana na mdomo huo huo aliosema una harufu nikamvua dera lake pale pale mlangoni akabaki na chupi tu....nikamla mate tena nikambeba hadi kitandani nilimsugua hadi saa mbili nikamwachia demu kalegea balaa akapika msosi tukala usiku mnene tena nikaliamsha dudu nikamla hadi kunakucha. Sasa kilicho nishtua asubuhi kaniambia anataka ahamishie vitu vyake kwangu ili tuishi wote pamoja..... Wadau nipeni ushauri niishi nae kweli huyu???
dah..aseee nimecheka kufaa...
 
Back
Top Bottom