Sikuona watu wengi lakini nikasikia kura za Shein ni 299000

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,233
16,202
Zilitoka wapi hizi kura au ndio kupika unapika mwenyewe kila kitu unafanya mwenyewe chunvi unajiwekea kiasi unachotaka!!?
Mimi nilitarajia shein apate kura 170000 tu kwa idadi ya watu wachache waliojitokeza
 
Wana CHADEMA tanzania bara mnachekesha.Yaani threads nyingi za kuhusu kuiponda zanzibar humu zinaanzishwa na wana CHADEMA wa Tanzania bara na kuchangiwa sana na wana CHADEMA wa Tanzania bara.Mnaitumia Zanzibar KU-STEAM OUT FRUSTRATION baada ya LOWASA kupigwa chini.

Mkishambulia Zanzibar mnasikia walau ahueni!! Maskini nyie mnatia huruma hadi basi.Poleni.
 
Hii comment yako una-paste kila mahali , hii hatulipi.

Weka comment mpya, unatakiwa uwe mbunifu kama Jecha.
Vipi wewe!
 
Wana CHADEMA tanzania bara mnachekesha.Yaani threads nyingi za kuhusu kuiponda zanzibar humu zinaanzishwa na wana CHADEMA wa Tanzania bara na kuchangiwa sana na wana CHADEMA wa Tanzania bara.Mnaitumia Zanzibar KU-STEAM OUT FRUSTRATION baada ya LOWASA kupigwa chini.

Mkishambulia Zanzibar mnasikia walau ahueni!! Maskini nyie mnatia huruma hadi basi.Poleni.
Ina maana hukuona au uccm umekutawala wewe watu wachache kabisa
Hata huku ccm walimwibia lowasa tu kwa kujiongezea kura walivyotaka we 2010 jk apate kura milion5 na 2015 magufuli apate milion8 wapi na wapi
 
Zilitoka wapi hizi kura au ndio kupika unapika mwenyewe kila kitu unafanya mwenyewe chunvi unajiwekea kiasi unachotaka!!?
Mimi nilitarajia shein apate kura 170000 tu kwa idadi ya watu wachache waliojitokeza
Walikuja kabla hujafika ndiyo maana hukuwaona. Pole kuchelewa, siku nyingine uwahi
 
Jecha kazi aliyopewa kamaliza kwani haukumuamini maalim seif kuwa matokeo yameshaandaliwa maalim seif alishiriki vikao. Anajua nini ni nini
 
Wana CHADEMA tanzania bara mnachekesha.Yaani threads nyingi za kuhusu kuiponda zanzibar humu zinaanzishwa na wana CHADEMA wa Tanzania bara na kuchangiwa sana na wana CHADEMA wa Tanzania bara.Mnaitumia Zanzibar KU-STEAM OUT FRUSTRATION baada ya LOWASA kupigwa chini.

Mkishambulia Zanzibar mnasikia walau ahueni!! Maskini nyie mnatia huruma hadi basi.Poleni.
KWANZA Kasome Historia Ya Nchi Hiyo Unayojinasibisha Nayo!! Hakuna Tanzania Bila Ya ZANZIBAR!! Kuna TANGANYIKA Na ZANZIBAR Tu, Hivyo Hakuna TANZANIA BARA Pasipo Na ZANZIBAR!! Ila Kuna Zanzibar Pasipo Na Tanganyika!!! Maana ZANZIBAR Ni Unguja Na Pemba, Sio Na Tanganyika!!!! Hivyo Kama Ukijinasibu Kuwa Ww MTANZANIA, Basi Ni Lazima Na ZANZIBAR Ikuhusu!!! Ila Ukisimama Kama Mtanganyika, Basi Zanzibar Itakuwa Haikuhusu!!! Hivyo Kwa Vile Sisi Ni Watanzania, Basi Kuzungumzia Ya ZANZIBAR Ni Haki Yetu, Kwa Vile Ni Sehemu Ya Nchi Yetu!!!!
 
Sawa you are right
Lakini:
Mzanzibari anahaki kokote Tanzania
Na Mtanzania Bara Haki yake ni Tanganyika tuu
 
Zilitoka wapi hizi kura au ndio kupika unapika mwenyewe kila kitu unafanya mwenyewe chunvi unajiwekea kiasi unachotaka!!?
Mimi nilitarajia shein apate kura 170000 tu kwa idadi ya watu wachache waliojitokeza

Hata hao ni wengi sana.Ila kwa hasira ya vile vikura 48,000 lazima CUF wakione cha moto.:(:(:(
 
Back
Top Bottom