Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine.

Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.

Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
 
Nakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100% kuwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi hapo Zanzibar Isles yupo katika Mazoezi ya kuja kuwa Rais wa Mainland.
Hawezi kuwa rais wa Tanzania? Majaribio na rukhsa yaliisha kwa baba yake. BTW tunahitaji chuma kingine wakati JPM akimaliza muda wake hatutaki masihara, nchi inataka kwenda mbele sio kedekeza vifisadi.
 
Hivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania , mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship ?
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala ( issues ) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.

Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki ( hata yale Nyeti ) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Kwa kuwa huyo ndiyo Rais aliyeingia kwa kura nyingi zaidi za wizi kuliko Rais mwingine yeyote, huko nyuma!

Hivi hata wewe unaweza amini kuwa Rais Mwinyi amezoa kura nyingi hata kwenye "stronghold" ya Pemba, kama siyo kwa uporaji wa kura?

Kwa hiyo vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni lazima vifanye uangalizi wa karibu zaidi
 
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala ( issues ) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.

Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki ( hata yale Nyeti ) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Ndiye Rais ajae wa Tanzania, haina mjadala.
 
Hivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania , mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship ?

Wabongo nani kawaloga kiroho mbaya namna hiyo ?

Lakini kumbuka aliyeondoa masuala ya vijana kuingia/jiunga mafunzo ya kijeshi JKT alikuwa ni Baba yake yaani Mzee Mwinyi.

Kwa bahati nzuri, Dk.Hussein aliteuliwa kuwa Waziri wa ulinzi zaidi ya mara moja, alijifunza mengi akiwa ni waziri wa ulinzi, hata kama hakupitia mafunzo ya JKT hiyo haijalishi. Maoni yangu.
 
Back
Top Bottom