Sikulazimishi ila huu ndiyo mtizamo wangu wa Kiufundi baada ya Kariakoo Derby

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,570
Referee.

Nadhani kama kuna mwaka ambao Tanzania imewahi kupata Mwamuzi / Refarii bora na anayeijua vyema Kazi yake hasa awapo Uwanjani basi ni huyu Kijana Eli Sasii. Ubora na umakini wake ndiyo umeweza kumfanya hadi Wachezaji wamuheshimu na wampende na kama akiongozwa vyema kabisa na TFF basi sitoshangaa kumuona siku moja akichezesha michuano mikubwa kabisa ya Kimataifa na kuiletea sana Sifa Tanzania yetu.

Simba SC.

Nikiri wazi kabisa kwamba ndiyo Klabu yangu ambayo naishabikia na naipenda ila katika mtizamo na uchambuzi wangu huu hapa naweza mapenzi yangu yote pembeni na nasema ukweli mtupu bila unafiki na kama ilivyo kawaida yangu.

Nilichogundua ni kwamba siku zote Simba SC inapokuwa inakaribia tu kucheza na Yanga SC basi yenyewe huwa inaweka mno mkazo katika ' ushirikina / uchawi / ndumba ' na siyo kujiandaa ' Kisayansi ' kabisa na hiyo mechi.

Ukiiangalia Simba SC kwa jicho la ' Kiufundi ' kabisa utagundua ya kwamba ilipocheza ' derby ' yake jana pale Shamba la Bibi Timu ilikuwa na tatizo kubwa sana la ' Stamina ' na kuna muda hata Wachezaji wetu wa Simba SC ' upepo ' ulikuwa unakata hadi wengine wengine kule ' majukwaani ' tunashika mioyo yetu kwa ' uwoga '.

Huko nyuma nilikuwa ni Mtu ambaye nilikuwa nikimtetea sana ' mitandaoni ' Kocha Joseph Maurice Omog asifukuzwe ila kwa nilichokiona jana pale Uwanja wa Uhuru nadhani hata nikisia leo hii Simba SC imeachana nae sitoshangaa wala sitohoji na sana sana hata Mimi nitafurahi na kuunga mkono.

Kwanini?

Tukatae tukubali kuna mechi ambazo baadhi ya Wachezaji hata kama ' unawachukia ' lakini hizo mechi ndiyo zao na hata wakiwa wanacheza dhidi ya Yanga SC tumeshuhudia wakileta ' madhara ' makubwa kwa Yanga SC.

Katika ' derby ' ya jana nilishangaa na kusikitika sana kuona Kocha Omog amemuanzisha James Kotei katikati huku akimuacha mwenye ' hati miliki ' na hiyo namba Kiungo mkabaji mdogo wangu Jonas Gerald Mkude na sikushangaa kabisa pale nilipomuona Kiungo wa Yanga SC Papy Kabamba Tshishimbi akilitawala muda wote dimba la katikati hadi ' kuwapoteza ' kabisa akina James Kotei, Muzamiru Yasini na Haruna Niyonzima.

Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi kabisa ambalo Klabu ya Simba SC ilifanya ni kumuacha Mshambuliaji ambaye Mimi binafsi nina uhakika wa 100% kwamba angekuja kutusaidia mno Simba SC aitwae Fredrick Blagnon na tukambakisha Mchezaji ambaye Mimi mpaka sasa sioni ' tija ' yake katika Timu na naona ni kama tu vile anakula mshahara wa bure ambaye ni Laudit Mavugo.

Fredrick Blagnon alikuwa na sifa zote za Mshambuliaji na ndiyo maana kila alipokuwa akipangwa Mabeki wa Timu pinzani nyingi walikuwa wanamkaba wawili wawili huku hata wakiogopa kupanda mbele kushambulia tofauti na ambavyo Laudit Mavugo akicheza mabeki humfanya wanavyotaka na ndiyo maana hata jana ' Mshkaji ' wangu wa Mwanza Beki Kelvin Patrick Yondan alikuwa anapanda na anarudi kumkaba Mavugo na ' Limavugo ' likiwa limenywea tu utadhani ' Teja ' la Bwimbwi / Unga.

Kwa mtizamo wangu jana Kocha Omog bila kuwaza mara mbili mbili alitakiwa ama amuanzishe John Boko Adebayor au Mghana Nicolas Gyan ili watengeneze ' striking force ' ya hatari kule mbele badala yake akamuanzisha Laudit Mavugo ambaye nikiri tu wazi kwamba hajui mpira na ikiwezekana hata Kipindi hiki kidogo cha Usajili aachwe tu kwani hana tija Kikosini.

Yako mengi ila haya nadhani ni makubwa zaidi na niwaombe tu wana Simba SC wote kwamba kama kuna Mtu ambaye tunapashwa kumshukuru tena mno tu ni Golikipa wetu ' Tanzania One ' kwa sasa Aishi Manula kwa juhudi zake za kuokoa ile michomo vinginevyo nina uhakika kwamba kama jana lingepangwa lile ' Puto ' jingine Said Nduda zile Goli 5 tulizowafunga Yanga SC zingerudi na pengine hata tungefungwa zaidi ya goli hizo 5.

Yanga SC

Bila unafiki wala kinyongo niseme tu kwamba jana Yanga SC wamecheza mpira mkubwa na wa kiwango cha juu kabisa kitu ambacho hata Sisi wana Simba SC hatukutegemea kwamba ' Jamaa ' wangekaza vile huku wakiwa wanatiririka na kuserereka utadhani Samaki aina ya Kambale ndani ya maji ya Ziwa Victoria.

Kiufundi

Yanga SC jana iliwazidi kwa kiasi kikubwa sana Kiufundi Simba SC hasa katika upangaji wa Kikosi chake ambapo Kocha wao George Lwandamina aliwapanga Watu wa Kazi tupu hasa katika Safu ya Kiungo na Ushambuliaji hali ambayo kila mara ilikuwa ikiwafanya Mabeki wetu akina Method Mwanjale na Juuko Murshid ' kuchanganyikiwa ' na kuchaza ' rafu ' za Kipuuzi na zisizo na maana.

Stamina

Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba nguvu kubwa ya Yanga SC jana ilikuwa ni katika Stamina yao na kiukweli Yanga SC kwa sasa hivi pamoja na Timu kama Za Prisons FC na Mtibwa Sugar ndizo zenye ' Stamina ' za kutosha. Simba SC tujitahidi mno kuwajenga ' Kistamina ' Wachezaji wetu kwani wanachoka haraka sana.

Ukweli Mchungu

Wana Simba SC wenzangu huu ni ukweli japo najua utatuuma ila laiti jana Yanga SC wangeongezeka tu pale akina Amis Tambwe, Thabani Kamusoko na Donald Kamusoko na kwa aina ile ya Uchezaji wa ' Kazi Kazi ' aliokuwa nao jana Mzambia James Chirwa akisaidiwa kwa nyuma na Ibrahim Ajib jana tulikuwa tunakula goli kuanzia 7 mpaka hata 9 kwani jana Yanga SC walikuwa ' watamu ' sana na sijui kwanini hawakushinda.

Mwisho nizipongeze tu Timu zote kwa kuweza kutoka Sare vile na kidogo nawaona Yanga SC kama vile wana Kikosi cha kuwasaidia katika Michuano ya Kimataifa kuliko Simba SC yangu ambayo imesajili kweli Wachezaji wazuri n wakubwa ila bahati mbaya sana Wote kumbe ni ' Pancha ' tupu ( namaanisha Wagonjwa )

Simba SC wenzangu pale tukiwa tunaambiwa na Yanga SC kuwa Sisi ni ' Wapumbavu ' tusiwe tunakataa au kukasirika kwani kwa Mtu mwenye akili ' timilifu ' kabisa hawezi kupoteza Pesa yake na kwenda kuwasajili Wachezaji ' pancha / wagonjwa ' kama Shomari Kapombe, Kipa Said Nduda na hata John Boko Adebayor ambao wote hao Klabu yenye ' akili ' kwa sasa nchini Tanzania na inayoongozwa ' Kiueledi ' kabisa ya Azam FC iliachana nao baada ya kugundua kuwa Kwanza Umri wao umeshawatupa mkono ( tayari Saa 12 jioni ) halafu tena wana ' pancha ' nyingi lakini Sisi kwasababu tu tunawashwa na Pesa zetu za ' utakatishaji ' tukakurupuka kuwasajili. Mchezaji pekee ambaye Simba imelamba dume ni ' Kiraka ' Erasto Nyoni na Golikipa Aishi Manula kwa wale Wachezaji tuliowasajili kutoka Azam FC.

Hii ndiyo tamati yangu ila narudia tena kusema kama nikisikia ama leo au wiki ijayo inayoanza Kesho kwamba Kocha Omog wa Simba SC amefutwa Kazi / Kibarua chake sitoshangaa sana na nadhani nitapongeza kwani kuna uwezekano uwezo wake wa Kufundisha umefikia Kikomo au ana matatizo yake binafsi na Wachezaji au anakubali kupangiwa Timu kitu ambacho ni very ' unproffesional ' kwa Kocha mkubwa na anayejitambua kama Yeye.

Kuna mahala nimeona Msemaji wangu wa Simba SC Haji Manara ' anawananga / anawachamba ' Yanga SC kwa kuwaambia wanashangilia ile draw / sare ya jana lakini hapo hapo tena huyu huyu Haji Manara amesahau au amejisahaulisha kwamba mwaka 2013 hata Sisi Simba SC tulipocheza ile derby yetu na Yanga SC ' iliyotimia ' huku Makocha wetu wakiwa ni Mzee Kibaden na Julio mpaka ' half time ' Simba SC tulikuwa tumeshakula tayari goli 3 ila Kipindi cha pili tu baada ya kuingia Vijana akina Said Ndemla na William Lucien Gallas wakishirikana vizuri na Jonas Mkude waliweza ' kukichafua ' sana pale katikati hadi tukarudisha zile goli zote 3 na mpira ulipomalizika tu Simba SC wote ( hadi Mimi GENTAMYCINE ) nikiwepo tulishangilia utadhani tumebeba Kikombe cha VPL vile tukaishia kukisikia tu kwa Yanga SC hadi mwaka jana tulipoenda kukiulizia Uswisi kwa FIFA na bado vile vile ' ikala ' kwetu.

Haji Manara Msemaji wa Simba SC atawachekaje Yanga SC kushangilia ile sare jana wakati ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Simba SC yetu ya ' Bilioni ' jana ilipelekeshwa ' puta ' na Vijana wadogo tu akina Patrick ( Pato ) Ngonyani, Raphael Daud na Pius Buswita na bado Wachezaji wetu wa Simba SC ' ulimi ' uliwatoka hadi tukawa tunaomba mpira umalizike tu haraka ili ' Wazee ' wa ' Bilioni ' tusiadhirike / tusiumbuke?

Kila la kheri.

GENTAMYCINE nawasilisha.
 
Kila siku nasema na nazidi kusema

Mkude ,Ndemla ,Mo sio wa kukaa bench haswa Mkude na Ndemla

Misimu ya nyuma yote yanga wakikutana na simba na hata simba ikiwa pungufu lazima yanga ipotee ,Mkude na Said ni engine pale kati

Angalia msimu huu simba wamekutana na yanga Mara 2 na wamekuwa nyanya sana ,.nakumbuka kuna msimu simba walipocheza na yanga dakika 5 za mwisho yanga hawakugusa mpira hata Mara moja na mpira uliisha miguuni kwa banda.

Kwa kikosi hiki cha simba hata akina Rafael daud wana handle

Free Mkude na Said

Huku Mo anaingia cha pili na uzuri Mo ni mfunfaji na anapiga nje ya box ,

Lwandamina akamuingiza Pato ngonyani akawa na holding 2 na hapo akafunga kufuli kila kitu..
 
Uliingia uwanjani na uliona huo mchezo. Basi nakupa hongera kwa uchambuzi wako. Lakini kwa upande wangu timu zote sio nzuri msimu huu. Wana bebwa na majina na mbinu za nje ya uwanja. Illa simba ikibadili mfumo wanaweza kuwa wazuri. Yanga pia wana tatizo la kocha amini kabisa. Timu kimataifa sidhani kama watafika mbali. Simba wakibadili kocha huenda wakafanya vizuri.
 
Team zte sio nzr lkn huez linganisha yanga na simba sasa hv maana simba wanawachezaji wengi sn wazr....ubovu wao upo kwny ku handle team tu
 
Referee.

Nadhani kama kuna mwaka ambao Tanzania imewahi kupata Mwamuzi / Refarii bora na anayeijua vyema Kazi yake hasa awapo Uwanjani basi ni huyu Kijana Eli Sasii. Ubora na umakini wake ndiyo umeweza kumfanya hadi Wachezaji wamuheshimu na wampende na kama akiongozwa vyema kabisa na TFF basi sitoshangaa kumuona siku moja akichezesha michuano mikubwa kabisa ya Kimataifa na kuiletea sana Sifa Tanzania yetu.

Simba SC.

Nikiri wazi kabisa kwamba ndiyo Klabu yangu ambayo naishabikia na naipenda ila katika mtizamo na uchambuzi wangu huu hapa naweza mapenzi yangu yote pembeni na nasema ukweli mtupu bila unafiki na kama ilivyo kawaida yangu.

Nilichogundua ni kwamba siku zote Simba SC inapokuwa inakaribia tu kucheza na Yanga SC basi yenyewe huwa inaweka mno mkazo katika ' ushirikina / uchawi / ndumba ' na siyo kujiandaa ' Kisayansi ' kabisa na hiyo mechi.

Ukiiangalia Simba SC kwa jicho la ' Kiufundi ' kabisa utagundua ya kwamba ilipocheza ' derby ' yake jana pale Shamba la Bibi Timu ilikuwa na tatizo kubwa sana la ' Stamina ' na kuna muda hata Wachezaji wetu wa Simba SC ' upepo ' ulikuwa unakata hadi wengine wengine kule ' majukwaani ' tunashika mioyo yetu kwa ' uwoga '.

Huko nyuma nilikuwa ni Mtu ambaye nilikuwa nikimtetea sana ' mitandaoni ' Kocha Joseph Maurice Omog asifukuzwe ila kwa nilichokiona jana pale Uwanja wa Uhuru nadhani hata nikisia leo hii Simba SC imeachana nae sitoshangaa wala sitohoji na sana sana hata Mimi nitafurahi na kuunga mkono.

Kwanini?

Tukatae tukubali kuna mechi ambazo baadhi ya Wachezaji hata kama ' unawachukia ' lakini hizo mechi ndiyo zao na hata wakiwa wanacheza dhidi ya Yanga SC tumeshuhudia wakileta ' madhara ' makubwa kwa Yanga SC.

Katika ' derby ' ya jana nilishangaa na kusikitika sana kuona Kocha Omog amemuanzisha James Kotei katikati huku akimuacha mwenye ' hati miliki ' na hiyo namba Kiungo mkabaji mdogo wangu Jonas Gerald Mkude na sikushangaa kabisa pale nilipomuona Kiungo wa Yanga SC Papy Kabamba Tshishimbi akilitawala muda wote dimba la katikati hadi ' kuwapoteza ' kabisa akina James Kotei, Muzamiru Yasini na Haruna Niyonzima.

Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi kabisa ambalo Klabu ya Simba SC ilifanya ni kumuacha Mshambuliaji ambaye Mimi binafsi nina uhakika wa 100% kwamba angekuja kutusaidia mno Simba SC aitwae Fredrick Blagnon na tukambakisha Mchezaji ambaye Mimi mpaka sasa sioni ' tija ' yake katika Timu na naona ni kama tu vile anakula mshahara wa bure ambaye ni Laudit Mavugo.

Fredrick Blagnon alikuwa na sifa zote za Mshambuliaji na ndiyo maana kila alipokuwa akipangwa Mabeki wa Timu pinzani nyingi walikuwa wanamkaba wawili wawili huku hata wakiogopa kupanda mbele kushambulia tofauti na ambavyo Laudit Mavugo akicheza mabeki humfanya wanavyotaka na ndiyo maana hata jana ' Mshkaji ' wangu wa Mwanza Beki Kelvin Patrick Yondan alikuwa anapanda na anarudi kumkaba Mavugo na ' Limavugo ' likiwa limenywea tu utadhani ' Teja ' la Bwimbwi / Unga.

Kwa mtizamo wangu jana Kocha Omog bila kuwaza mara mbili mbili alitakiwa ama amuanzishe John Boko Adebayor au Mghana Nicolas Gyan ili watengeneze ' striking force ' ya hatari kule mbele badala yake akamuanzisha Laudit Mavugo ambaye nikiri tu wazi kwamba hajui mpira na ikiwezekana hata Kipindi hiki kidogo cha Usajili aachwe tu kwani hana tija Kikosini.

Yako mengi ila haya nadhani ni makubwa zaidi na niwaombe tu wana Simba SC wote kwamba kama kuna Mtu ambaye tunapashwa kumshukuru tena mno tu ni Golikipa wetu ' Tanzania One ' kwa sasa Aishi Manula kwa juhudi zake za kuokoa ile michomo vinginevyo nina uhakika kwamba kama jana lingepangwa lile ' Puto ' jingine Said Nduda zile Goli 5 tulizowafunga Yanga SC zingerudi na pengine hata tungefungwa zaidi ya goli hizo 5.

Yanga SC

Bila unafiki wala kinyongo niseme tu kwamba jana Yanga SC wamecheza mpira mkubwa na wa kiwango cha juu kabisa kitu ambacho hata Sisi wana Simba SC hatukutegemea kwamba ' Jamaa ' wangekaza vile huku wakiwa wanatiririka na kuserereka utadhani Samaki aina ya Kambale ndani ya maji ya Ziwa Victoria.

Kiufundi

Yanga SC jana iliwazidi kwa kiasi kikubwa sana Kiufundi Simba SC hasa katika upangaji wa Kikosi chake ambapo Kocha wao George Lwandamina aliwapanga Watu wa Kazi tupu hasa katika Safu ya Kiungo na Ushambuliaji hali ambayo kila mara ilikuwa ikiwafanya Mabeki wetu akina Method Mwanjale na Juuko Murshid ' kuchanganyikiwa ' na kuchaza ' rafu ' za Kipuuzi na zisizo na maana.

Stamina

Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba nguvu kubwa ya Yanga SC jana ilikuwa ni katika Stamina yao na kiukweli Yanga SC kwa sasa hivi pamoja na Timu kama Za Prisons FC na Mtibwa Sugar ndizo zenye ' Stamina ' za kutosha. Simba SC tujitahidi mno kuwajenga ' Kistamina ' Wachezaji wetu kwani wanachoka haraka sana.

Ukweli Mchungu

Wana Simba SC wenzangu huu ni ukweli japo najua utatuuma ila laiti jana Yanga SC wangeongezeka tu pale akina Amis Tambwe, Thabani Kamusoko na Donald Kamusoko na kwa aina ile ya Uchezaji wa ' Kazi Kazi ' aliokuwa nao jana Mzambia James Chirwa akisaidiwa kwa nyuma na Ibrahim Ajib jana tulikuwa tunakula goli kuanzia 7 mpaka hata 9 kwani jana Yanga SC walikuwa ' watamu ' sana na sijui kwanini hawakushinda.

Mwisho nizipongeze tu Timu zote kwa kuweza kutoka Sare vile na kidogo nawaona Yanga SC kama vile wana Kikosi cha kuwasaidia katika Michuano ya Kimataifa kuliko Simba SC yangu ambayo imesajili kweli Wachezaji wazuri n wakubwa ila bahati mbaya sana Wote kumbe ni ' Pancha ' tupu ( namaanisha Wagonjwa )

Simba SC wenzangu pale tukiwa tunaambiwa na Yanga SC kuwa Sisi ni ' Wapumbavu ' tusiwe tunakataa au kukasirika kwani kwa Mtu mwenye akili ' timilifu ' kabisa hawezi kupoteza Pesa yake na kwenda kuwasajili Wachezaji ' pancha / wagonjwa ' kama Shomari Kapombe, Kipa Said Nduda na hata John Boko Adebayor ambao wote hao Klabu yenye ' akili ' kwa sasa nchini Tanzania na inayoongozwa ' Kiueledi ' kabisa ya Azam FC iliachana nao baada ya kugundua kuwa Kwanza Umri wao umeshawatupa mkono ( tayari Saa 12 jioni ) halafu tena wana ' pancha ' nyingi lakini Sisi kwasababu tu tunawashwa na Pesa zetu za ' utakatishaji ' tukakurupuka kuwasajili. Mchezaji pekee ambaye Simba imelamba dume ni ' Kiraka ' Erasto Nyoni na Golikipa Aishi Manula kwa wale Wachezaji tuliowasajili kutoka Azam FC.

Hii ndiyo tamati yangu ila narudia tena kusema kama nikisikia ama leo au wiki ijayo inayoanza Kesho kwamba Kocha Omog wa Simba SC amefutwa Kazi / Kibarua chake sitoshangaa sana na nadhani nitapongeza kwani kuna uwezekano uwezo wake wa Kufundisha umefikia Kikomo au ana matatizo yake binafsi na Wachezaji au anakubali kupangiwa Timu kitu ambacho ni very ' unproffesional ' kwa Kocha mkubwa na anayejitambua kama Yeye.

Kuna mahala nimeona Msemaji wangu wa Simba SC Haji Manara ' anawananga / anawachamba ' Yanga SC kwa kuwaambia wanashangilia ile draw / sare ya jana lakini hapo hapo tena huyu huyu Haji Manara amesahau au amejisahaulisha kwamba mwaka 2016 hata Sisi Simba SC tulipocheza ile derby yetu na Yanga SC ' iliyotimia ' huku Makocha wetu wakiwa ni Mzee Kibaden na Julio mpaka ' half time ' Simba SC tulikuwa tumeshakula tayari goli 3 ila Kipindi cha pili tu baada ya kuingia Vijana akina Said Ndemla na William Lucien Gallas wakishirikana vizuri na Jonas Mkude waliweza ' kukichafua ' sana pale katikati hadi tukarudisha zile goli zote 3 na mpira ulipomalizika tu Simba SC wote ( hadi Mimi GENTAMYCINE ) nikiwepo tulishangilia utadhani tumebeba Kikombe cha VPL vile tukaishia kukisikia tu kwa Yanga SC hadi mwaka jana tulipoenda kukiulizia Uswisi kwa FIFA na bado vile vile ' ikala ' kwetu.

Haji Manara Msemaji wa Simba SC atawachekaje Yanga SC kushangilia ile sare jana wakati ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Simba SC yetu ya ' Bilioni ' jana ilipelekeshwa ' puta ' na Vijana wadogo tu akina Patrick ( Pato ) Ngonyani, Raphael Daud na Pius Buswita na bado Wachezaji wetu wa Simba SC ' ulimi ' uliwatoka hadi tukawa tunaomba mpira umalizike tu haraka ili ' Wazee ' wa ' Bilioni ' tusiadhirike / tusiumbuke?

Kila la kheri.

GENTAMYCINE nawasilisha.
Kwa leo nakupa like kubwa Mkuu. Huo Ukweli uliosema wanasimba wengi hawautaki. Hongera mtani!!!!
 
You are absolutely right. And right is forever right even if everybody else says it’s wrong. And wrong is wrong even if everybody else says it’s right.
 
Kiungo mkabaji
482793a1-d35d-410d-9217-dd444af5542a.jpg
 
Uliingia uwanjani na uliona huo mchezo. Basi nakupa hongera kwa uchambuzi wako. Lakini kwa upande wangu timu zote sio nzuri msimu huu. Wana bebwa na majina na mbinu za nje ya uwanja. Illa simba ikibadili mfumo wanaweza kuwa wazuri. Yanga pia wana tatizo la kocha amini kabisa. Timu kimataifa sidhani kama watafika mbali. Simba wakibadili kocha huenda wakafanya vizuri.
Ukianza kuisema team eti kimataifa huifikirii kufanya vzr unakuwa unakosea,,, Kama Jana kimepangwa kikosi kile na kimeweza kutoa draw na kikosi bora kabisa Kama kile cha simba Kama si mbinu za huyo kocha yanga walikuwa wanakula nyingi mzee baba!!!
 
Kila siku nasema na nazidi kusema

Mkude ,Ndemla ,Mo sio wa kukaa bench haswa Mkude na Ndemla

Misimu ya nyuma yote yanga wakikutana na simba na hata simba ikiwa pungufu lazima yanga ipotee ,Mkude na Said ni engine pale kati

Angalia msimu huu simba wamekutana na yanga Mara 2 na wamekuwa nyanya sana ,.nakumbuka kuna msimu simba walipocheza na yanga dakika 5 za mwisho yanga hawakugusa mpira hata Mara moja na mpira uliisha miguuni kwa banda.

Kwa kikosi hiki cha simba hata akina Rafael daud wana handle

Free Mkude na Said

Huku Mo anaingia cha pili na uzuri Mo ni mfunfaji na anapiga nje ya box ,

Lwandamina akamuingiza Pato ngonyani akawa na holding 2 na hapo akafunga kufuli kila kitu..
Yaani binafsi nilivyoona Mkude na Ndemla wako nje nilimwambia Waiter aniongezee Heineken 4 ninywe Kwa raha zangu. Kiukweli huwezi mlinganisha Ndemla na akina Niyonzima. Hata alipokuwa Yanga Niyonzima alipotezwa sana na hawa vijana 2. Rejea mechi ya 3 - 3.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom