Sikukuu ya Pasaka: Mikusanyiko baharini, Baa yapigwa marufuku

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mikusanyiko katika fukwe za bahari na kwenye Baa katika kipindi chote cha sikukuu za pasaka.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Aprili 9, 2020 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa amewataka wananchi wote kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima na kuendeleza na jitihada za kujikinga na virusi vya corona.

“Katika kipindi chote cha pasaka polisi Kanda Maalum imejipanga hukakikisha hakuna uhalifu, vurugu na mikusanyiko isiyokuwa ya lazima inafanyika ikiwa ni maelekezo ya Serikali ya kujikinga na maambukizi ya corona,” amesema Mambosasa.

Vilevile, jeshi hilo limewataka madereva wa pikipiki walioruhusiwa kuingia katikati ya jiji kufuata sheria kwa kuvaa kofia ngumu na kuacha kupita barabara zilizokatazwa.

Aprili Mosi, 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya jiji ili kupunguza kero ya usafiri uliotokana na daladala kutakiwa kupakiwa abiria kulingana na idadi ya viti ‘level seat’.

“Fursa waliyoipata wataipoteza wenyewe wameruhusiwa wanakuja na tabia zao za kuendelea kukiuka na kuwa wakaidi, tumejipanga vizuri kuhakikisha kwamba yeyote atakayeenda kinyume tunamchukulia hatua,” amesema

“Tunawashukuru waliotii agizo la Serikali la kupakia abiria kulingana na idadi ya viti vilivyopo ndani ya gari (level seat) kwa watakaokaidi agizo hilo sheria itafuata mkondo wake.”

Ameongeza kuwa jeshi hilo limejipanga vizuri kwa kutumia doria za askari wa miguu, magari, pikipiki, mbwa na farasi kuhakikisha maeneo yote yanakuwa salama.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mikusanyiko katika fukwe za bahari na kwenye baa katika kipindi chote cha sikukuu za pasaka.

Nafikri sasa iingepitishwa azimio moja kubwa kwa muda tu, kwamba hizi kofia ngumu zipigwe marufku kwa maana na zenyewe zinaweza kuwa chanzo kizuri cha maambukizi.

Fikria mtu mwenye kiurusi cha korona kaivaa dk 0 zilizopita, halafu punde anakuja abiria mwingine ambaye hana maambukizi naye anaivaa!

Sasa ni bora tuziweke pembeni kwanza kwa kipindi hiki, ili shetani na corona yake wapite, baada ya hapo sheria iendelee ya kuvaa kofia ngumu
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mikusanyiko katika fukwe za bahari na kwenye baa katika kipindi chote cha sikukuu za pasaka.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Aprili 9, 2020 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa amewataka wananchi wote kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima na kuendeleza na jitihada za kujikinga na virusi vya corona.

“Katika kipindi chote cha pasaka polisi Kanda Maalum imejipanga hukakikisha hakuna uhalifu, vurugu na mikusanyiko isiyokuwa ya lazima inafanyika ikiwa ni maelekezo ya Serikali ya kujikinga na maambukizi ya corona,” amesema Mambosasa.

Vilevile, jeshi hilo limewataka madereva wa pikipiki walioruhusiwa kuingia katikati ya jiji kufuata sheria kwa kuvaa kofia ngumu na kuacha kupita barabara zilizokatazwa.

Aprili Mosi, 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya jiji ili kupunguza kero ya usafiri uliotokana na daladala kutakiwa kupakiwa abiria kulingana na idadi ya viti ‘level seat’.

“Fursa waliyoipata wataipoteza wenyewe wameruhusiwa wanakuja na tabia zao za kuendelea kukiuka na kuwa wakaidi, tumejipanga vizuri kuhakikisha kwamba yeyote atakayeenda kinyume tunamchukulia hatua,” amesema

“Tunawashukuru waliotii agizo la Serikali la kupakia abiria kulingana na idadi ya viti vilivyopo ndani ya gari (level seat) kwa watakaokaidi agizo hilo sheria itafuata mkondo wake.”

Ameongeza kuwa jeshi hilo limejipanga vizuri kwa kutumia doria za askari wa miguu, magari, pikipiki, mbwa na farasi kuhakikisha maeneo yote yanakuwa salama.
Tutabanana Polisi mess.
 
Mikusanyiko ya bar bado sijaielewa ni ya namna gani
Kwani bar kila siku ziko wazi, hii ni kututishia sisi wanywaji kwamba hatutakiwi kwenda bar siku hiyo kama tufanyavyo kila siku
 
safi sana
 
Inawezekana hali ni mbaya kuliko tunavyoaminishwa, hivi karibuni ukweli utajulikana
 
Mikusanyiko holela ndio hatari zaidi Kwa Usalama wa afya zetu sio tu Kwa ugonjwa wa korona bali pia hata maambukizi ya maradhi mengine.
Tujiepushe kulundikana au kusongamana ktk eneo moja. Tukikinge Kwa kuva mask
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
Mikusanyiko ya bar bado sijaielewa ni ya namna gani
Kwani bar kila siku ziko wazi, hii ni kututishia sisi wanywaji kwamba hatutakiwi kwenda bar siku hiyo kama tufanyavyo kila siku
Mbona makanisa na misikiti hayafungwi sasa? Huko hakuna mikusanyiko?! Baa kuna mikusanyiko gani wakati watu tunajipatia kiburudisho chetu? Hivi polisi hawajaona mikusanyiko mikubwa kwenye vituo vya mwendo kasi? Watu wanakaa hadi masaa matatu kusubiri magari kwenye foreni ndefuuu
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mikusanyiko katika fukwe za bahari na kwenye Baa katika kipindi chote cha sikukuu za pasaka.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Aprili 9, 2020 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa amewataka wananchi wote kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima na kuendeleza na jitihada za kujikinga na virusi vya corona.

“Katika kipindi chote cha pasaka polisi Kanda Maalum imejipanga hukakikisha hakuna uhalifu, vurugu na mikusanyiko isiyokuwa ya lazima inafanyika ikiwa ni maelekezo ya Serikali ya kujikinga na maambukizi ya corona,” amesema Mambosasa.

Vilevile, jeshi hilo limewataka madereva wa pikipiki walioruhusiwa kuingia katikati ya jiji kufuata sheria kwa kuvaa kofia ngumu na kuacha kupita barabara zilizokatazwa.

Aprili Mosi, 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya jiji ili kupunguza kero ya usafiri uliotokana na daladala kutakiwa kupakiwa abiria kulingana na idadi ya viti ‘level seat’.

“Fursa waliyoipata wataipoteza wenyewe wameruhusiwa wanakuja na tabia zao za kuendelea kukiuka na kuwa wakaidi, tumejipanga vizuri kuhakikisha kwamba yeyote atakayeenda kinyume tunamchukulia hatua,” amesema

“Tunawashukuru waliotii agizo la Serikali la kupakia abiria kulingana na idadi ya viti vilivyopo ndani ya gari (level seat) kwa watakaokaidi agizo hilo sheria itafuata mkondo wake.”

Ameongeza kuwa jeshi hilo limejipanga vizuri kwa kutumia doria za askari wa miguu, magari, pikipiki, mbwa na farasi kuhakikisha maeneo yote yanakuwa salama.
KAMANDA YUPO SAHIHI KABISA. BIG UP MZEE!!
 
Back
Top Bottom