Sikukuu ya MWAKA MPYA ni waliozaliwa tarehe 1 January

Kiplayer

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
996
1,565
Binadamu wengi tunafuata mkumbo katika mengi mfano mzuri ni sherehe za mwaka mpya. Mtu ulizaliwa Mwezi wa Saba miaka iliyopita halafu unahangaika kusherehekea mwaka mpya tarehe 1 January!!! Subiri Mwezi uliozaliwa ndio mwaka mpya wako. HAPPY NEW YEAR!
 
Tafuta hela upikie Watoto pilau acha kuleta Sababu.
 
Binadamu wengi tunafuata mkumbo katika mengi mfano mzuri ni sherehe za mwaka mpya. Mtu ulizaliwa Mwezi wa Saba miaka iliyopita halafu unahangaika kusherehekea mwaka mpya tarehe 1 January!!! Subiri Mwezi uliozaliwa ndio mwaka mpya wako. HAPPY NEW YEAR!
Huyo aliyezaliwa mwezi wa saba, ataendelea kuandika tarehe za 2021 mpaka atakapofika huo mwezi wa saba?
 
Back
Top Bottom